Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

IMG-20170826-WA0001.jpg
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
zilipendwa

Madaraka ya kulevya
 
Me nadhani kama ni Beef ..liishie kwenye kujibizana kwa nyimbo na si kutukanana mitandaoni..
Huyu akitoa wimbo huyu nae atoe ya kwake ..kwa style hiyo inakua ni kutoa burudani kwa mashabiki..
na pia wasanii wenyewe kupiga hela.Ila mambo ya kuchukiana na kupeana vijembe me nayaona hayana maana
 
Wanapambana Na Kiba, Kweli Ali Mtu Mbaya Pasua Kichwa Heart Breaker Kipusa
Kiba Hana maajabu ya kumzidi mondi....kiba ana mda gani tokea aanze mziki kachukua tuzo ngapi za kimataifa na mond anatuzo ngapi? Hata ulaya ubora wa timu unaonekana kwa kuchukua vikombe...nahisi ww umekula bangi za Jamaica....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nyimbo nne zingekuwa zinafanya vizuri sizani kama angeshauriwa atoe tena nyimbo nyengine,ukiangalia sasa Mond ndiyo mwenye kulazimisha bifu na kwa tafsri ya haraka kuna kitu hakiko sawa na ndiyo maana zinatafutwa kiki.
 
Duu kwel zilipendwa, atakaeuchukia huu wimbo atakuwa na matatizo yake binafsi..hata darasan nna waswas alikuwa hamuelew mwalimu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wimbo wa rika zote, haubagui. Na hapa ndo Diamond anapowashinda wenzake. Wakati wengine wanalenga burudani yeye analenga burudani na biashara.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Nadhani WCB na mashabiki wao kuna kitu hawakijui vyema kuhusu muziki na ushindani.

Wanaamini Diamond ndio mwanamuziki bora zaidi hapa Tanzania, na hapo hapo wanalazimisha bifu au ushindani wa kijinga dhidi ya wanamuziki wengine ambao wao wanaamini ni wanamuziki wadogo. Hasa wakimlenga Ali Kiba. Hiyo ni wrong stratergy in a long running. Huwezi kujiona wewe ni bora zaidi halafu unaenda kujilinganisha na wale unaowaona dhaifu.

Diamond alishakuwa maarufu sana hadi kufikia kilele cha umaarufu wake hapa Tanzania, na kwa sasa ni mwanamuziki wa kawaida machoni pa watanzania kwa sababu keshazoeleka sana hapa Tanzania. The same to Ali Kiba, na yeye alishafikia huko huko kabla ya Diamond kuibuka. Na hiyo ndio Asili ya umaarufu ilivyo.

Kwa kusonga mbele kwa yoyote kati yao kutategemea mambo haya....
1/Utulivu wa hali ya juu.
2/Umakini katika kufanya muziki.
3/Kupata mashabiki wapya.
4/Kujipanua kimataifa.
Mkuu mashabiki sidhani kama wananafasi ya kumshauri Mond ajirekebishe. Ila hao managers wake ndio wenye hiyo kazi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteee WCB, Roho yangu sasa imekuwa nyeupe, baada kuchafuliwa na takataka fulani sijui wananiita kipusa, yoooooo wananiita heartbreaker, yoooooo wananiita mzee misifa, yoooooo wananiita mzee wa kugawa madinga, yoooooooo wananita pasua kichwa, sijui ni nani aliyemtungia huu wimbo mbovu kiasi hiki.

Siasa basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yoooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom