kodian
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 977
- 1,106
Kiba wapo na mzee wa vidimpoz aka vishimoKweli ujue yaan wote wanashindana na kiba jeshi la mtu mmoja
Kiba wapo na mzee wa vidimpoz aka vishimoKweli ujue yaan wote wanashindana na kiba jeshi la mtu mmoja
Wiki yote hyo hata masaa 20 hayajafikahiyo seduce mbona watu wameshaichoka hata wiki haijamaliza.
Kweli mzee mwenzangu,hata video nayo iko vizuri,vere creativeVijana wamejitahidi!
[emoji3] [emoji3]ile nyimbo mbaya kama kwaya vile
kaimbwa kibakuli mule?Kwa hiyo ndio mkaamua muungane watu 7 kumshambulia mtu mmoja?!
Mi nimepanga kwa mama matokeo hapa kila chumba cha mpangaji mwenzangu nasikia seduce me yani roho inaniuma kasubwoofer changu kimeharibika la sivyo mbona wangeomba tanesco wakate umemeNipo Kenya Nairobi club sevens DJ amecheza Seduce me kila MTU kelele yaani wanaomba ichezwe TENA..Ghalfa akaweka zilipendwa a see umati umemzushia sana..Hawataki spoti spoti
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,Matonya anawapelekea mahakamani.
Kwanini mmetumia wimbo wake Zilipendwa bila ridhaa yake?!
Utofauti ni kwamba matonya aliamba peke yake, ila hawa wameimba watu 7.Eti wadau embu tuambizane kidogo iyo nyimbo inatofauti gani na ile aliyoimba matonya, au kisa wao wameimba wengi???? yani wamekosa ubunifu wamekopi hadi jina la wimbo.
nadhani wasafi wameishiwa sio bure.
kwa maana hiyo unakubaliana na mm wamekosa ubunifuUtofauti ni kwamba matonya aliamba peke yake, ila hawa wameimba watu 7.
Idea ni ile ile inayozungumzia mastaa wa zamani ukifananisha na mastaa wa wakati huu.
Sio mastaa tu, Bali life style pia.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wameingia studio leo kutoa huo wimbo na video juu plus kuunga au walikua nao wameona leo ndo wautoe na wao pia ebu funguka vzr mhYaaani tembo mmoja simba 5 pumbavu watu wote wameingia studio washindane na mtu mmoja
Alafu awawezagi kuimba bila kumtaja wema yaani wema sepetu kawakaaa kichwani kuliko mkewenu kila wimbo wema