Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

yaani ukiona watu wanaiongelea zaidi nyimbo ya wcb nakuacha nyimbo ya alikiba unaweza kuona jinsi gani wcb wanakiki zaidi..na hapa ndipo utagundua kumbe mashabiki wengi wa diamond ni wa alikiba viewers wengi wa diamond ni mashabiki wa alikiba....
Matonya anawapelekea mahakamani.

Kwanini mmetumia wimbo wake Zilipendwa bila ridhaa yake?!
 
Matonya anawapelekea mahakamani.

Kwanini mmetumia wimbo wake Zilipendwa bila ridhaa yake?!
tatizo nini hapo jina au nyimbo nzima kacopy kwa matonya pamoja na beat??
kama ni jina hata Alikiba jina la hiyo nyimbo seduce me kaiba kuna nyimbo ina hilo jina pia
 
Umeshindwa kuangalia timeline.
!? Zilipendwa ya matonya ilikuwepo kabla hata ya hiyo wcb

Ugiligili
 
Wadau wa Kiswahili mbona mnachanganya uwingi na umoja?

Ukiwa mmoja tunasema WIMBO
Zikiwa nyingi tunasema NYIMBO
 
Back
Top Bottom