Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Hivi Wale mameneja waliojazana pale wasafi hicho ndicho wanachomshauri Simba, au hashauriki. Mtu kashatoa nyimbo 4, Fire, miss you, Eneka, na fresh remix. Ambazo nyingi bado zinafanya vizuri kitaa na sehemu mbalimbali. Ali kiba katoa nyimbo moja tu tayari wcb nao wametoa sijui zilipendwa. Hiyo maana yake Nini? Au managers wamefeli kumsimamia huyu kijana. Note Siko upande wowote ila muwe Fair sio kila siku unataka kusikika wewe tu. Ila pia wahenga walisema ngoma ikivuma sana ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vuu vuu badaye itapasuka nimeamua kumalizia mkuu[emoji4] [emoji4]
 
Hivi Wale mameneja waliojazana pale wasafi hicho ndicho wanachomshauri Simba, au hashauriki. Mtu kashatoa nyimbo 4, Fire, miss you, Eneka, na fresh remix. Ambazo nyingi bado zinafanya vizuri kitaa na sehemu mbalimbali. Ali kiba katoa nyimbo moja tu tayari wcb nao wametoa sijui zilipendwa. Hiyo maana yake Nini? Au managers wamefeli kumsimamia huyu kijana. Note Siko upande wowote ila muwe Fair sio kila siku unataka kusikika wewe tu. Ila pia wahenga walisema ngoma ikivuma sana ......

Sent using Jamii Forums mobile app
- Shetta katoa ngoma
- Jux katoa
- Mziwanda katoa
- Beka ft Blue wametoa
- nk nk
Hivi kwanini TUNAPANGIANA RATIBA za kutoa NGOMA, Mbona KIBA hakujali JUX, FID Q na MZIWANDA Kutoa ngoma na yeye katoa au HAO SIYO WASANII ??

- Nyimbo nzuri itasimama tu hata kawa ZITATOKA NYIMBO 100,000. Hivi kwa siku DUNIANI wasanii huwa wanatoa NGOMA Ngapi na ngoma ngapi huwa zinakuwa GLOBAL HITS ??
 
Chorus ndio kali sana, huku kwingne kunaboa kusikilza

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali

[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]

[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]

[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]

[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]

Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alishaimba matonya
 
Aisee..!
Hayo mashairi ya kwenye seduce me ni kama kaimba mtoto mdogo..!
MTU anakaa kimya mwaka mzima alafu anakuja kutunga utumbo kama ule..!
Nasema hivi,huu wimbo wa Ali Kiba ni wimbo mbayaaaa haijapata kutokea..!
Kweli bongo kuwekwe tuzo za wachukiaji, maana kuna watu wana vipaji.
 
e83ff04412de8ae9da503b408da1fa5d.jpg

Kiba anawalaza na viatu[emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo ndio mkaamua muungane watu 7 kumshambulia mtu mmoja?!
Ivi kuna limit ya idadi ya watu kuimba kwenye nyimbo moja!? Au mi ndio Sielewi....

Iyo ni mipango yao na nakumbuka baada ya kuachia Eneka kuna siku queen darl aliongelea hii ishu ya kuachia nyimbo ya Group lao...

Sasa kwa Mnavyodahi wanashindana na Mtu Mmoja kivipi!? Au ndo ushabiki Tuuh

Watu wasitoe nyimbo Sababu Pretty Girl Katoa Lol!!! Hizi kweli Zilipendwa
Zilipendwa
 
Back
Top Bottom