Ali Kiba ametoa nyimbo chini ya kiwango...ila najua kura za huruma za anti-wcb haters zitambeba!
Halafu Diamonda angejua...dah!
Nyota za Diamond inambeba Kiba na Diamond kupaniki kwake mpaka kukurupuka kutoa Zilipendwa kunambeba zaidi Kiba na kwa mlango wa nyuma kumjengea Kiba mazingira ya kuonekana ndiye anayelidrive gemu la Bongo...wakati ni kinyume chake!
Diamond ajitambue kuwa yeye ndiye king wa Bongofleva na aache kumpa kiki za bure Kiba...!
Kutokujiamini kwa Dai kunamkosti sana kwani kunamjenga Kiba bure bila hata ya Kiba kutumia nguvu...!
Siyo kama Kiba hajui kuimba..la hasha!
Ila hana fanbase,marketbase na endorsement ya kumzidi Chibu!
Diamond apunguze dharau,kwa fans wake ambao ndiyo wanapelekea kuongeza kura za huruma,kwa Kiba!
TO BE HONEST KIBA ANAPATA 50% YA KURA ZAKE KWA SABABU YA UKONGWE WAKE KWENYE GEMU...ILA 50% ZILIZOBAKI NI KURA ZA HURUMA KUTOJA KWA WALIOCHOSHWA NA MONOPOLY YA WCB YA,MUZIKI WA BONGO FLEVA NA WALE WANAOCHUKIA MAFANIKIO BINAFSI YA WANA WCB...!