Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Ali Kiba ametoa nyimbo chini ya kiwango...ila najua kura za huruma za anti-wcb haters zitambeba!
Halafu Diamonda angejua...dah!
Nyota za Diamond inambeba Kiba na Diamond kupaniki kwake mpaka kukurupuka kutoa Zilipendwa kunambeba zaidi Kiba na kwa mlango wa nyuma kumjengea Kiba mazingira ya kuonekana ndiye anayelidrive gemu la Bongo...wakati ni kinyume chake!
Diamond ajitambue kuwa yeye ndiye king wa Bongofleva na aache kumpa kiki za bure Kiba...!
Kutokujiamini kwa Dai kunamkosti sana kwani kunamjenga Kiba bure bila hata ya Kiba kutumia nguvu...!
Siyo kama Kiba hajui kuimba..la hasha!
Ila hana fanbase,marketbase na endorsement ya kumzidi Chibu!
Diamond apunguze dharau,kwa fans wake ambao ndiyo wanapelekea kuongeza kura za huruma,kwa Kiba!
TO BE HONEST KIBA ANAPATA 50% YA KURA ZAKE KWA SABABU YA UKONGWE WAKE KWENYE GEMU...ILA 50% ZILIZOBAKI NI KURA ZA HURUMA KUTOJA KWA WALIOCHOSHWA NA MONOPOLY YA WCB YA,MUZIKI WA BONGO FLEVA NA WALE WANAOCHUKIA MAFANIKIO BINAFSI YA WANA WCB...!
Uko bias sana mkuu Pro wcb hivi kati ya timu ya wcb na alikiba nani anaanzisha chokochoko.Kama alikiba anamtegemea Diamond ili afanye vzr nadhani wakati Mondi anatoa nyimbo 4 na vijana wake kuachia nyimbo zaidi ya 10 ulisikia alikiba hata akisema neno.Je vipi alikiba alipoanza kupost captain ya nyimbo mpya Mondi alivumilia?Yeye alianza kutoa vijembe na madongo kwa alikiba alafu wewe unasema alikiba anamtegemea Mondi.Mziki umeanza kufuatilia mwaka gani labda au kipindi Mondi anatoka.Alikiba katoa wimbo nao haijapita hata siku wametowa nyimbo tena kundi zima alafu wewe unasema alikiba anategemea upepo wa Mondi,kwa hali nani anamtegemea mwenzake.Kama ungekuwa moja ya member wa wcb basi ungejuwa wanavyomwogopa jamaaa.Hivi Diamond na vijana wake wametowa jumla ya nyimbo kwa mwaka huu na alikiba katoa ngapi vile

great thinker
 
Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma ya Diamond Platnumz na Patoranking itakayo tolewa rasmi wiki ijayo, WCB leo wameangusha ngoma mpya kali saaaaaaaaaaaaaana ijulikanayo kama Zilipendwa.

Humu wapo wasanii wote wa WCB kuanzia Mondi, Mavoko, Rayvan, Harmonize na mwanadada queen darlin


Kwa uhondo zaidi ingia wasafi dotcom uweze kujinunulia wimbo wako kwa sh mia tatu tu,za kitanzania.
tuingie tukanunue nini? umechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ringson ili bifyu litamuibua Matonya toka,usingizini...we subiria siye wazee wa fursa tusiyichotwa na huu utean wenu lazima tumwibue Tonya Mbili toka mafichoni!
Kama Mondi alivyomwibua Saida...tegemea the same hapa...!
 
forumyangu miye teamkiba tangu 2007/2008 na nilianza kumshabikia,Kiba tangu anakuja kwenye show pale Lindi wakati nasoma Lindi Secondary...A-level!
Hakuna kama Kiba kwenye vocals na utulivu stejini....!
Na hata katika ile thread yenye shindano kati ya mondi na Kiba,kura yangu imeenda kwa Kiba!
Kura yangu ni ya huruma ya kujaribu kuvunja monopoly ya wcb ktk mziki wetu...ambayo,kiafya siyo nzuri.!
Kiba anapata kura nyingi za huruma toka kwa anti-wcb!
Mkuu wengine hizi bifu za uteam hatuzichukulii serious...sanasana tunazitumia kupigia pesa za wafia timu.. ili kupunguza ugumu wa maisha haya ya awamu ya tano...!
Wajinga ndiyo waliwao...!
 
Kumeanza kujitokeza katabia ka kutoa nyimbo mbovu au za kawaida sana harafu kitulazimisha tuzipende Kwa kuzifanyia promo kuuubwa ukigeuka huku wimbo huu hapa,ukitune kule wimbo huu hapa ili mrad uupende kwa lazma.
 
Leo ndo nimeamini hizi timu zinasababisha zinaleta madhara kwa wasanii wengine hata kama wakitoa hit songs.
Yaaan hakuna hata mtu mmoja mwenye attention kwa Beka Flavour ft Mr Blu kwamba wametoa boooonge la nyimbo(tuwe sare)....mijitu yote kwa seduce na zilipendwa tuu wakati nyimbo zote mbili mbooovu tuuuu!!!!

Ebu sikilizeni pini la maaana hili ....hili ndo pini kali la mwaka huu woooote...."Tuwe sare" huwezi kucompare na "seduce me" wala "zilipendwa"

Na wale wapenda mziki mzuri nendeni mkamsikilize Aslay ana kitu cha ''pusha''...sio kukalia mitimu tuu wakati minyimbo yao yote mibaya.
 

Attachments

Back
Top Bottom