sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,854
- 11,458
Nilikuuliza nn?Nimekujibu Swali
Nilikuuliza nn?Nimekujibu Swali
matusi ya nini ndugu?Diamond kuna siku ameomba ladha yako maana inaonekana ni mtaalamu wa kutoa ladha kwa wanaume.
Mond Tatizo anatoa nyimbo mbovu ila huu wa kiba utafanya vizur kwenye audio na atauza Sana na atafanya vyema kwenye videoyaani ukiona watu wanaiongelea zaidi nyimbo ya wcb nakuacha nyimbo ya alikiba unaweza kuona jinsi gani wcb wanakiki zaidi..na hapa ndipo utagundua kumbe mashabiki wengi wa diamond ni wa alikiba viewers wengi wa diamond ni mashabiki wa alikiba....
Kwani ukitukanwa unakuwa zezeta au utakuwa tahira?matusi ya nini ndugu?
Nimekuelewa Mkuu [emoji106][emoji106]Hzo ni mbinu zangu tu za kumfanya nae bishana nae apanik
Lakn hakuna ugomvi ni challenge tu tunapeana mkuu
Usiombe undugu na mm sinaga undugu na watu wa ajabu kama wetusipangiane cha kupenda ndugu yangu,kila mtu na nafsi yake anavojisikia...wewe hata uniite shoga ilimradi sibadiliki endelea tuu kuniita......nisamehe kama essay yangu mbaya unaweza kunisahihisha ndugu yangu
Salute[emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kakutuma ukusanye maoni ya hizi kazi mbili.?
Au mihemko ya kike?
ZilipendwaNilikuuliza nn?
Duh..pole sanaZilipendwa
WCB bana kiba akiachia ngoma lazima na wao waachie sijui ndio nini