Sana Sana...Vijana wamejitahidi!
Hahaaah eti hawafanyi mziki kushindana...kiba kawacharaza bakora leo siku nzima watu mnaweweseka
Karibu KundiniInabidi tu nimkubali mond team kiba naihama kwakweli.
Kila mtu apambane na hali yake.
kuna nyimbo za nyumbani na za kimataifa hiyo ya WCB ni ya nyumbani Alikiba hajawahi tofautisha ipi ya nyumbani ipi ya kimataifa kuna nyimbo nyingine hazichezeki mbele zaidi ya hapahapa tuu nyumbani,muziki biashara bwanaMond Tatizo anatoa nyimbo mbovu ila huu wa kiba utafanya vizur kwenye audio na atauza Sana na atafanya vyema kwenye video
Usiombe undugu na mm sinaga undugu na watu wa ajabu kama we
Sijakupangia cha kupenda ila punguza kihere here na mahaba ya kijinga
Wameshindana wapiii???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Watu7 wanashindana na akili ya jamaa mmoja
fact. mwenyew nimeshangaa sanaKumuimba Kanumba na Ivan sidhani kama ni sawa