Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Wewe ata kesho yako unajua kama utakua mzima???....iweje uzungumzie 2020 kwan uyo Mange kaingia mkataba na Mungu atakuepo....mambo mengine ni beyond our reach tumuachie Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wanaosema magu aongezewe muda. Wanaagano na mungu kuwa 2020 atakuwepo?

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Ktk hizo views 2M kuna likes na dislikes ngapi?
Mimi mmoja wapo wa hizo views ila ni thumb down!
Alafu wapiga kura wengi wako vijijini, sio ktk instagram. Tambua hilo, hata lowassa wakati akiwa hot 2015 kura za 'bushi' ndo zilimuangusha! Huko mnaweza waita ni 'wajinga' ila ndo waelewa!
....Kweli wapiga kura wengi wako vijijini, lakini kumbuka wengi ni vijana na wengi siku hizi wana vi Tecno vyao na wanaingia kwenye mitandao kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..

Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..

Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..

Makonda oyeeeeee
Pia usisahau kuwa waangaliaji wa video hizi wengi ni mahausigelo na vijana wadogo wa shule na wengi ni wale ambao wala hawana umri wa kupiga kura na wenye huo umri wala hawajui kura nini? watu ambao wanashinda siku nzima kuangalia music video na headphone masikioni wakisikiliza muziki, wasiojua hata dunia inakwenda wapi kwenye siasa. Asilimia tisini ya washabiki wa aina hii hawana thani katika mchango wa uongozi wala siasa za nchi.
 
510cbb6af31df739d582fb1a5a7be137.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mashabiki wa kibakuli mnaelewa maana ya seduce me au mnaongea tu... Achani ufala nyie manyangau utakuta dume zima zipo seduce me...asalaleee. kwa hyo nani unataka akuseduce..hafu msiniletee ujinga huu.
NB: Hatanipigwe ban sijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mashabiki wa kibakuli mnaelewa maana ya seduce me au mnaongea tu... Achani ufala nyie manyangau utakuta dume zima zipo seduce me...asalaleee. kwa hyo nani unataka akuseduce..hafu msiniletee ujinga huu.
NB: Hatanipigwe ban sijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa pale wanapofosi KIBAya kionekane kizuri.Hawatowezaaa
 
Back
Top Bottom