pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,875
- 2,781
Kufika 2020 watakuwa wamefikisha 18+Pia usisahau kuwa waangaliaji wa video hizi wengi ni mahausigelo na vijana wadogo wa shule na wengi ni wale ambao wala hawana umri wa kupiga kura na wenye huo umri wala hawajui kura nini? watu ambao wanashinda siku nzima kuangalia music video na headphone masikioni wakisikiliza muziki, wasiojua hata dunia inakwenda wapi kwenye siasa. Asilimia tisini ya washabiki wa aina hii hawana thani katika mchango wa uongozi wala siasa za nchi.
Sasa huyo lumumba ndo in charge wa IT...vuta picha wengine wakojeNimegundua kuwa huyu ni limbukeni wa mitandao. Kaanza kutumia hii mitandao mwaka jana.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Labda kiba na diamond wagombee urais ndo hao watoto na mahausigelo watakuelewa, Zaidi ya hapo hakuna kitu. Asilimia 80 ya kura za Watanzania zinatoka kwa watu ambao wala hawanahabari na kiba wala diamond, wala hawamjui Mange ni nani, kwanza ukiwaletea habari za mange wanaweza wakajua ni Mangi mwenye duka la mikate mtaa wa tatu. Au mangi muuza mafuta taa. Au manka mkaanga miguu ya kuku.Kufika 2020 watakuwa wamefikisha 18+
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Muongo, wewe humjui mange naniLabda kiba na diamond wagombee urais ndo hao watoto na mahausigelo watakuelewa, Zaidi ya hapo hakuna kitu. Asilimia 80 ya kura za Watanzania zinatoka kwa watu ambao wala hawanahabari na kiba wala diamond, wala hawamjui Mange ni nani, kwanza ukiwaletea habari za mange wanaweza wakajua ni Mangi mwenye duka la mikate mtaa wa tatu. Au mangi muuza mafuta taa. Au manka mkaanga miguu ya kuku.
Mimi ni msomi na ninajitambua sana tu sipelekeshwi na mtu yoyote awe Tundu au chadomo yoyote!!Ao watoto wa vyuo ndyo wapiga kura wa kesho. Ao ambao hawajui mambo ya mtandao ndyo wale twaweza walisema hawana elimu ( ni mazuzu) ndyo waliobaki kushabikia CCM.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Sawa mimi Muongo wewe mkweli, wewe unamjua Mange mimi simjui, wewe unawajua watanzania mimi siwajui. Wewe endelea kufananisha siasa na hayo mambo yenu ya team za kitoto. na logoffMuongo, wewe humjui mange nani
Alikua ana share 1% (LoL) wamemtia hasara jamaa wakati wanaanzisha na TV kwa Dar na Radio Morogoro (Ipo na inafanya kazi jengo la Nssf) Mosha akawa anataka kuona mambo yakisonga siku hadi siku akawachukua washkaj flani hivi akawaweka kama wakurugenzi (Jina kapuni ni wana sana) na huyo bwn Le bilionea akawa kama "Ceremonial figure" ..jamaa kuja kutahamaki Mil.400/= wamelamba halaf mambo hayasongi...akaona isiwe kesi...fukuza wote! kwahiyo le bilionea akawa hana ujanja na alisha jisifu ana tv ndio kuja na online kama kuzuga kuondoa nishai! utafute uzi wa MSAGA SUMU uone vifaa vya studio ya kisasa! kuna vifaa vya kukalia maarufu kama kiti! haha nafwaaa!!
Du W. J. Malecela si anashare African Swahili? Hiyo taarifa kama ina ukweli flani hivi,sijajua kwanini Le Mutuz wakianzisha kitu na wenzake baada ya mda anajitoa (mgogoro au kaona fursa zaidi) na yeye anaenda kuanzisha kama hicho, rejea walivyoanzisha JF na Sasa Africa TV/Radio, Kwasasa yupo mbioni kuanzisha na yeye redio yake! Kuna kitu hapa ebu jazia nyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na ww Elimu yako haijakukomboaPia usisahau kuwa waangaliaji wa video hizi wengi ni mahausigelo na vijana wadogo wa shule na wengi ni wale ambao wala hawana umri wa kupiga kura na wenye huo umri wala hawajui kura nini? watu ambao wanashinda siku nzima kuangalia music video na headphone masikioni wakisikiliza muziki, wasiojua hata dunia inakwenda wapi kwenye siasa. Asilimia tisini ya washabiki wa aina hii hawana thani katika mchango wa uongozi wala siasa za nchi.
Unatutushia kumpeleka RC kwenye hicho kibandaumiza chako?View attachment 577297
- Hiyo ni last week nilimpeleka RC kutembelea kituo chetu cha Africa Swahili, so poleni sana na maneno maneno mengi ya ujinga ujinga na majungu, hahahahahahahahah U know
le Mutuz
Wenzako ushoga huwa wanaanza ivi iviHivi nyie mashabiki wa kibakuli mnaelewa maana ya seduce me au mnaongea tu... Achani ufala nyie manyangau utakuta dume zima zipo seduce me...asalaleee. kwa hyo nani unataka akuseduce..hafu msiniletee ujinga huu.
NB: Hatanipigwe ban sijali
Sent using Jamii Forums mobile app