Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Sikuamini wimbo wa Ali Kiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!

Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malkia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.

Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.

Kitu nilichogundua ni kuwa huyu dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.

Hii kampain aliyomfanyia Kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.

Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
ungewaacha tu! kwanza hawafanyi kazi kwenye mitandao mzee kipara alibwatukaga...mipuuzi inawaza kumtoa roho wakati katika taifa lolote lenye ustawi whistleblowers wanalindwa...this country bwana! mange ana influence..kataa kubali..sijaelewa usajili unaotaka kwamba wampe fungu? atalipokea ila hatokua tayari watoto wake awaache na mke wa kizimbwabwe Nyari!
 
Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..

Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..

Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..

Makonda oyeeeeee
 
Usipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.

Mimi sitegemei katika nchi zetu hizi Rais au chama kilichopo madarakani kushindwa kirahisi. Kweli zipo vyama vilivyopigania uhuru wa nchi zao havipo madarakani lkn hapa kwetu naona bado tupo mbali sana. Sioni ni kwa vipi mteule wangu atasema nimeshindwa labda siku hiyo itakuwa maajabu ya dunia. Natamani siku moja tufikie hata robo ya Kenya. Leo mahakama ya kupinga matokeo iko live n vyama vimeruhusiwa kuangalia server ya IEBC kuhakiki kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom