funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,072
- 31,591
Like one device accessing the video 2000 times?Usipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Like one device accessing the video 2000 times?Usipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Wewe kwa akili yako unadhani wakulima zaidi ya milioni 20 wapiga kura waafahamu kama Mange Kimambi ni nani na wala hata hawajui kwamba kuna sisi wajinga member wa JF kutwa tunalumbana kijinga ktk social mediaUsipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Yani werwe ni mfano wa ile mizee mi senior bachelor yenye vitambi vikubwa akili ndogo kama kucha ya le mutuz..tangu lini wapiga kura wakafika mil20? mzee sukari yako inapanda vibaya sana! hapo umezaliwa tu 1970..nonsense!Wewe kwa akili yako unadhani wakulima zaidi ya milioni 20 wapiga kura waafahamu kama Mange Kimambi ni nani na wala hata hawajui kwamba kuna sisi wajinga member wa JF kutwa tunalumbana kijinga ktk social media
Nikiwa kama miongoni mwa watu wanaofuatilia mziki wa kizazi kipya nimeona itakuwa sio mzuka kutotia tia neno katika wimbo ambao ni homa ya majiji makubwa yote duniani wanaojua mziki mzuri..kwa tafiti yangu ya siku chache nimegundua wimbo huu wa Ally una maajabu kumi kama ifuatavyo:-
1.Kautoa bila interview wala kuipeleka redioni lakini ndani ya dakika chache maDJ wote wa redio wanayo
2.Imegonga view million ndani ya masaa 38
3.Kafunika pengo la NEYO katika verse ya mwisho kwa verse kali inayofanya ajisifie NEYO kutakuwepo kwani angemharibia wimbo
4.Ni wimbo uliosababisha mpinzani wake kimziki apanic na kutoa wimbo si wimbo comedy si comedy akiwa na mawigi usiku wa manane...for the first time ukiona huo wimbo unaweza ukajua Eric Omond katoa kichekesho kumbe ni wimbo
5.wimbo huu umefanya kipigo cha arsenal,draw ya yanga na ushindi mnono wa Simba S.C isiwe habari ya kuzungumziwa kwa wanamichezo
6.Wimbo huu umefanya tukio la mlipuko ofisi za IMMA ADVOCATES iwe ni habari ya kawaida wakati ni tukio kubwa
7.Imeunganisha maadui wengi katika mitandao ya kijamii
8.imezima story za hamisa mobeto kuzalishwa na Nasib
9.huu wimbo imefanya WCB waingie jikoni kutengeneza booster iizime (soon mtasikia diamond kamuoa zari au diamond kamkubali mtoto aliyezaa na hamisa mobeto)...
10.huu wimbo umefanya niikumbuke password yangu ya kuingilia humu JAMII FORUMS
Magufuli alipata zaidi mil 8 na baba yako lowasa alipata zaidi ya mil 6 huo ni mwaka 2015 na kwa akili yako uliyoitoa rehani kwa wanasiasa unadhani mwaka 2020 kutakua na wangapi. Wewe mwenye elimu ya kihiyo kwa takwimu waliojiandikisha mwaka 2015 walikua 23,782,558. Kabla hujakashifu mtu fanya research kwanza otherwise hata huyo le mutz atakua kakuzidi kiakili. BVR 31 August 2015Yani werwe ni mfano wa ile mizee mi senior bachelor yenye vitambi vikubwa akili ndogo kama kucha ya le mutuz..tangu lini wapiga kura wakafika mil20? mzee sukari yako inapanda vibaya sana! hapo umezaliwa tu 1970..nonsense!
Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Sawa Le Mutuz ukiwa katika jinsia nyingine.Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..
Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..
Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..
Makonda oyeeeeee
Kaulize jinsi ya kutengeneza views nyingi uambiwe.Usipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Mkuu na Lowassa alikuwa na followers wangapi 2015 tuanzie hapo!! Unafikiri uchaguzi wa TZ ni sawa na kuimba bongo flavor? Wapiga kura wa tz hata hawajui maswala ya mitandano wako busy na kazi. Flowers wa Mange wengi ni watoto wa vyuo wanaojifunza kutumia mitandao... hiyo ndo research yangu mkuu!Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Mkuu na Lowassa alikuwa na followers wangapi 2015 tuanzie hapo!! Unafikiri uchaguzi wa TZ ni sawa na kuimba bongo flavor? Wapiga kura wa tz hata hawajui maswala ya mitandano wako busy na kazi. Flowers wa Mange wengi ni watoto wa vyuo wanaojifunza kutumia mitandao... hiyo ndo research yangu mkuu!Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Matokeo yake Davis Mosha hana imani tena na uwekezaji alioufanya..hatoui tena ajira kwa vijana..bure kabisa coco Chanel!Huyu ni mpuuzi wa kuupuza.
Kwahiyo na wewe akiliyako inakudanganya kua ataongeza zaidi wapiga kura?walio fukuzwa kazi bila kupewa kiinua mgongo wale waliompgia kura 2015 bado watampigia tu?wanyonge ndio watotowao wanasoma shule za kata, baada ya kufukuza watoto wao na kuzima ndoto zao sababu ya ujauzito pia bado watampigia tu?wanao lala nje barabarani na kung'atwa na mbu kisa kuvunjiwa nyumba zao hata mahakama kustop kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubomoa kwa kejeli hao pia bado watampigia tu?2020 ndio kura zake zitaongezeka sana unatuaminisha ety?Magufuli alipata zaidi mil 8 na baba yako lowasa alipata zaidi ya mil 6 huo ni mwaka 2015 na kwa akili yako uliyoitoa rehani kwa wanasiasa unadhani mwaka 2020 kutakua na wangapi. Wewe mwenye elimu ya kihiyo kwa takwimu waliojiandikisha mwaka 2015 walikua 23,782,558. Kabla hujakashifu mtu fanya research kwanza otherwise hata huyo le mutz atakua kakuzidi kiakili. BVR 31 August 2015
Wewe ni kichaa ni mwaka gani walipiga kura watu zaidi ya milioni 20... Hujui Mshindi Wa uchaguzi ule alipata kura milioni 8Wewe kwa akili yako unadhani wakulima zaidi ya milioni 20 wapiga kura waafahamu kama Mange Kimambi ni nani na wala hata hawajui kwamba kuna sisi wajinga member wa JF kutwa tunalumbana kijinga ktk social media
Ktk hizo views 2M kuna likes na dislikes ngapi?Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Wakati mondi analalamikiwa anatengeneza views mlisema uongo ila sasa mnakubali inawezekana. Hata siku upinzani ukishinda mtakubali kura ziliibwa ingawa kila siku mnakataa.Kaulize jinsi ya kutengeneza views nyingi uambiwe.