We ni mpuuzi. Hujawahi ona tajiri mnyonge??? Watu walkua matajiri lakini wanaonewa, rushwa ilitamalaki. Fanya uchunguzi we mpuuzi. Tajiri yeyote ambae amefkishwa mahakamani au anachunguzwa ni kwamba alkua fisadi, Ama halipi Kodi. Matajiri wenye fedha safi wanaishi Kwa raha mustarehe. Hapo nyuma walkua wanyonge. But above all wewe unatafsiri vipi neno "unyonge"? Acha ufala.Hivi mwanaume mzima kabisa na pumbu zako unajisikia fahari kujiita mnyonge?
Kwahiyo na wewe ni miongoni mwa wale wapuuzi wanaoamini kuwafilisi matajili maskini ndio watarithi ule utajili?
Poor you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app