Kweli nimeamini ukizidisha uongo,hautodumu muda mrefu utakua cha,juzi tumeaminishwa kila kina ya nchi hii bonge ya ngoma,lakini ni siku ya 5 Leo toka itoke na ishapotra
Tuliwaeleza vijana wa Instagram,huku kitaa wanagonga ngoma ya ZILIPENDWA TU NA WCB
Wakatutukana sana,nafikiri ulikua upepo mchafu wa SEDUCE ulikua umepita
Haya ngoma ile ilopewa kiki Instagram na kuhimizana kusaka view imeshatupwa kapuni
Daaahhh waTZ hawaaa,mapenzi ya dhati siku moja,siku ya pili kila MTU anakula kina
Hahahahaaaaa daaahhhhh,kweli MONDI MASHINE,KABAKI MWENYEWE MJINI
WENGINE AIBU TUPU KUAMINISHA UMMA NA DUNIA KUA TUMEVUNJA RECORD KUMBE NI UJINGA WA KUBEMBELEZEA WATU KTK VIEW
NA SASA NDO MSHAMPOTEZA HUYO KWA PROMO
AJE FIELD SASA AONE WANAUME WANAVYOENDELEA KUKIMBIZA KITAANI HUKUU.