Inaonekana hata wewe hujielewi maana wamfahamu sana na kumfatilia huyo Mange.Hao DPP na wengne uliowataja uliwahi kuona wanashabikia ujinga Wa mange kimambi?
Ndio maana nmesema mange anajulikana na kupendwa na watu wasiojielewa..
....Eti every one has a price, wewe lofa kweli, yaani unahamasisha hao wenzako wamnunue Mange kama mlivyokuwa mnanunua madiwani wa Chadema, na pia Lipumba. Takukuru wangetakiwa waanze na nyinyi.Hiv kumbe hamlali. Mi nlkuwa najarbu tu
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Kumbuka kila familia kwa sasa ina mtu walau anamiliki smart phone, and on top of that Mange alisaidia sana CCM 2015. Na hiki anachokifanya sasa kuiponda serikali hadi 2020 yaani CCM itakuwa hoi, believe me.Wewe kwa akili yako unadhani wakulima zaidi ya milioni 20 wapiga kura waafahamu kama Mange Kimambi ni nani na wala hata hawajui kwamba kuna sisi wajinga member wa JF kutwa tunalumbana kijinga ktk social media
Who i mondi?Wakati mondi analalamikiwa anatengeneza views mlisema uongo ila sasa mnakubali inawezekana. Hata siku upinzani ukishinda mtakubali kura ziliibwa ingawa kila siku mnakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu siwakumjibu huyu...nahisi dishi lake lime dance leoWeee babyboy katika ubora wako! Haya, huyu makonda wako kafikaje hapa? Au na hii post inakuwa counted ili unywe chai ya maziwa?
Leo ndio nimeamini kuwa akili zako ni chache kuliko za kiroboto. Na shida yenu ninyi mnaoishi kwa siasa za hadaa hamfanyi tafiti na kujua idadi ya wapiga kura wenu. Hao wazee huko vijijini hawafiki milioni kumi na kwa hali mnayowapeleka sidhani kama mtapata kura milioni moja jumlisha na za makinikia uchakachuzi.
Unahitaji kupumzika kuja humu jukwaani kama mzee wako alivyopumzika siasa!
Akijibu hii comment nitag mkuuKwani watu wenye kazi maalum niwale wakulima kule maporin ambao hawana hata umeme??DPP ,makonda,sirro ,nawengine wanamjua mange .je hawa hawana kazi maalum ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ao watoto wa vyuo ndyo wapiga kura wa kesho. Ao ambao hawajui mambo ya mtandao ndyo wale twaweza walisema hawana elimu ( ni mazuzu) ndyo waliobaki kushabikia CCM.Mkuu na Lowassa alikuwa na followers wangapi 2015 tuanzie hapo!! Unafikiri uchaguzi wa TZ ni sawa na kuimba bongo flavor? Wapiga kura wa tz hata hawajui maswala ya mitandano wako busy na kazi. Flowers wa Mange wengi ni watoto wa vyuo wanaojifunza kutumia mitandao... hiyo ndo research yangu mkuu!
ushamaliza homework??Usipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Pita hivi usijikwae mkuu...Pita tartiibu[emoji126][emoji126]napita............................
Achana nae mkuu hajielewi huyo.Inaonekana hata wewe hujielewi maana wamfahamu sana na kumfatilia huyo Mange.
Wengi including me, tumeiangalia baada ya kelele nyingi eti nyimbo nzuri! Kujionea mwenyewe nkashangaa sana. Walichokifanya ni sawa na wale wanaweka fake video anakwambia hichi unaingia unakuta kitu tofauti. Not fair at all angeiacha ngoma ijitangaze yenyewe; Na ngoma kuhit sio lazima uwe na followers wengi, Hapana. Mbona Muziki ya Darasa ilitikisa bila promo za kijinga kama hizi. Maombi ya Kiba ni kuona bifu linaendelea na Diamond siku likiisha na yeye mwisho wake kimuziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
There is only one count per device even if you view the vudeo a million tmes.Like one device accessing the video 2000 times?
Mimi ni mkulima. Na ninamfaham Mange. Na ninaview page yake kila siku.Wewe kwa akili yako unadhani wakulima zaidi ya milioni 20 wapiga kura waafahamu kama Mange Kimambi ni nani na wala hata hawajui kwamba kuna sisi wajinga member wa JF kutwa tunalumbana kijinga ktk social media
Siburi ifike 2020 mtatambua kuwa dunia ni dynamic na si static. Ao wa mitaani na vijijini ndyo hao wanaoanza kupata access na mitandao ya kijamii kwa kasi. Wale wazee ambao hawakwenda shule ndyo tunawazika kila siku.heradius12 labda mtandaoni,ila kura zetu ccm zipo mitaani na vijijini!
Ni kweli kabisa, social media zina nguvu sana kwa sasa, halafu watu wamesahau kuwa 2015 Mange alisaidia sana CCM. Na haya anayoyafanya kidogo kidogo kufikia 2020 lazima yataleta msiba kwa CCM.Social media sio za kubeza kabisa, katika hii time ambapo kila familia ina mtu anamiliki smart phone.Ni mjinga pekee anayeweza kudharau nguvu ya mitandao ya kijamii dunia ya leo.Mwingine anabeza uku nayeye yuko uku jf kama member.Vip kuhusu magroup ya whatsap,fb,insta na social media zingine zinazoweza kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi.athari za hii mitandano kisiasa na kijamii nikubwa zaidi na inafika kila pembe ya nchi kwa namna moja au nyingine sio sio kitu yakubeza.mtoa mada umelisema kimzaa ila ulilolisema ukipanua mawazo ukaangalia nyanza zote utaona ngivu ya hii mitandao ilivyokubwa kuliko ata mikutano ya hadhara,radio na Tv kwa pamoja.
Mzeee waache wabweteke...time will tel...Siburi ifike 2020 mtatambua kuwa dunia ni dynamic na si static. Ao wa mitaani na vijijini ndyo hao wanaoanza kupata access na mitandao ya kijamii kwa kasi. Wale wazee ambao hawakwenda shule ndyo tunawazika kila siku.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.