Withcare
Member
- Aug 10, 2017
- 42
- 55
Hatudharau mitandao ya kijamii ila kwa Tanzania hapa sehem ambayo inamanufaa kidogo na inaweza kuwajenga watu ni jf pekee..
Ukizungumzia instagram huko ni umbea na ujingaujinga tu hivi kama mange kimambi ni lini aliwahi kuongea point zaidi ya umbea Wa kike?
Mamnge anahoja gani ya kuweza kubadili mind za watu?
Dada una akili mzito Sana na kama kitu aukijui nymaza usijiaibishe.... Wewe ukitumia simu yako hata uingie kuuchek wimbo Mara 100 inacount 1 Imelewa Wewe unayo IP adress yako ni uniqe...... Akili za kibashite cocochalMtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..
Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..
Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..
Makonda oyeeeeee
Hama huko porini unakoish utamuona
Sikuamini wimbo wa Ali Kiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malkia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia Kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
kifupi sema simpendi kiba ila kumoyo inkuumaMtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..
Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..
Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..
Makonda oyeeeeee
Nimegundua kuwa huyu ni limbukeni wa mitandao. Kaanza kutumia hii mitandao mwaka jana.Hajielewi uyu kilaza....eti mange anafuta comments za wanaomcrash...hv unafutaje comment ya mtu insta ispokuwa yy aliyepost ndo mwenye access ya kufuta...hawa jamaa akili zao sjui zkoje
lemutuz huyuhuyu mtumishi wa DAUDI auuu??Sawa Le Mutuz ukiwa katika jinsia nyingine.
Hata uview mara 1m. Count ni moja tu.
mwenye unajiona umeandika point ya "mahaaaana". smh.Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..
Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..
Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..
Makonda oyeeeeee
HaswaMatokeo yake Davis Mosha hana imani tena na uwekezaji alioufanya..hatoui tena ajira kwa vijana..bure kabisa coco Chanel!
Huyu huyu.lemutuz huyuhuyu mtumishi wa DAUDI auuu??
Ebana eehh.usituchoshe. fanya kugoogle.Sorry wakuu, naomba kueleweshwa,
Hizi Views zinamsaidia nini Ally Kiba??
Hao Youtube wanamlipa vipi Ally Kiba based on these views??