Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!

Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.

Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.

Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.

Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.

Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Niseme kitu? Wanaomfuatilia Kiba, Mange Kimambi ni wale wale tu, usidange watu.
 
Kwani watu wenye kazi maalum niwale wakulima kule maporin ambao hawana hata umeme??DPP ,makonda,sirro ,nawengine wanamjua mange .je hawa hawana kazi maalum ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao DPP na wengne uliowataja uliwahi kuona wanashabikia ujinga Wa mange kimambi?
Ndio maana nmesema mange anajulikana na kupendwa na watu wasiojielewa..
 
Huu ni upuuzi kuwaza kusajili watu, mwambieni ngosha atimize ahadi zake ili taifa lisonge mbele, watanzani hawaitaji watu wenye influence kwenye national issues bali kiu yao ni kuiona Tanzania ikipiga hatua za kimaendeleo.
 
Mkuu Mgirik, I salute you. This is the best answer kwenye thread hii. MAGUFULI tupo nae phisicaly na tunamwelewa haswa. Sisi wanyonge ambao ndo wengi tunaifahamu impact ya huyu baba. Uonevu umepungua, uzalendo umerudi na tunajiamini kupita kipindi chochote Kile. 2020 ndo wataelewa. Mimi nipo nyuma ya MAGUFULI no matter what.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi huwa anaelewana na chizi mwenzake...endeleeni kukaa nyuma ya magufuluuu wenu..kma mnavyosemaa
 
Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..

Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..

Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..

Makonda oyeeeeee
Hahaaaa
 
Alikua ana share 1% (LoL) wamemtia hasara jamaa wakati wanaanzisha na TV kwa Dar na Radio Morogoro (Ipo na inafanya kazi jengo la Nssf) Mosha akawa anataka kuona mambo yakisonga siku hadi siku akawachukua washkaj flani hivi akawaweka kama wakurugenzi (Jina kapuni ni wana sana) na huyo bwn Le bilionea akawa kama "Ceremonial figure" ..jamaa kuja kutahamaki Mil.400/= wamelamba halaf mambo hayasongi...akaona isiwe kesi...fukuza wote! kwahiyo le bilionea akawa hana ujanja na alisha jisifu ana tv ndio kuja na online kama kuzuga kuondoa nishai! utafute uzi wa MSAGA SUMU uone vifaa vya studio ya kisasa! kuna vifaa vya kukalia maarufu kama kiti! haha nafwaaa!!
Inabidi hii issue umpe Mama wa Hide My ID alipue au Anzisha uzi Watu wachangie hapa mada nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ballots zimehamia IG au YT hapo sawa.muziki sio siasa.

mafisadi hayana rangi

 
Basi bhana endelea kuamini mnavyoamini kwamba mange kimambi anaweza kuleta ushawishi kwa watu kutokana na umbea anaoandika...
So kuamini andika vitu vyamaana hapa hakuna wajinga wajinga.unaongea mwwnyewe kisha unakataa maneno yako.umesema huku kwetu hatumjui kabisa .kisha umesema wanaomjua nuwatu wasonakazi maalum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu? Leo kwa Mara ya kwanza ngoja nifungue haka kauzi.

Mashabiki wengi wa WCB wanahangaika kuudiss wimbo wa Kiba kuliko kusupport wimbo wao, wanahangaika kuzilaumu media kuliko kutoa support kwa msanii wao, mwisho wanaishia kulalamika diamond anachukiwa sababu ya mafanikio yake ( non sense).
Hapo ndio mnapofail mashabiki wa Simba wa tandale!!
Igeni kwa wenzenu mashabiki wa King Kiba wimbo ulipotoka tu walikua wanahangaika kuupost kwa asilimia nyingi...


Povu ruksaa
 
Yani werwe ni mfano wa ile mizee mi senior bachelor yenye vitambi vikubwa akili ndogo kama kucha ya le mutuz..tangu lini wapiga kura wakafika mil20? mzee sukari yako inapanda vibaya sana! hapo umezaliwa tu 1970..nonsense!
hahahahaha akili za wana ccm kuna mahali huwa wanaziacha msamehe bure
 
We ni mpuuzi. Hujawahi ona tajiri mnyonge??? Watu walkua matajiri lakini wanaonewa, rushwa ilitamalaki. Fanya uchunguzi we mpuuzi. Tajiri yeyote ambae amefkishwa mahakamani au anachunguzwa ni kwamba alkua fisadi, Ama halipi Kodi. Matajiri wenye fedha safi wanaishi Kwa raha mustarehe. Hapo nyuma walkua wanyonge. But above all wewe unatafsiri vipi neno "unyonge"? Acha ufala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lete ushahidi wa manji kuwa alikuwa halipi kodi..
Ila leo mnamletea figisu kisa wivu tu wa utajiri wake
 
Back
Top Bottom