Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,617
- 21,145
Wewe ni follower wake....na mnamfollow kwenda wapi?Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
Wewe ni follower wake....na mnamfollow kwenda wapi?Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
Kakosa cheo.Mbona km upinzani hata hao waliopo ndani ya ccm wenyewe wapo wapinzani! Na wengine vyeo wanavyo mtu kutofautiana itikadi sio sababu ya kukosa cheo tu kuna mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mhh. hii hatari kumbe anazingua sana huyu?. nitakukumbusha siku tatu zikiishaTueleze kwanini Umefukuzwa Africa Swahili TV na hasira zako unafungua online TV?! nakupa siku tatu uje na Uzi wa declaration LA sivyo nakuanika kumtia hasara mosha zaidi ya Mil.400/
Kwani hujui kuwa hata wapiga kura wa ccm huwa wanawezeshwa kupiga kura kwa kurudiarudia?Mtu mmoja anaweza kuangalia video youtube zaidi ya mara moja, kupiga kura ya uchaguzi mtu anapiga mara moja kuchagua mgombea mmoja. Waliorusha video kujifunza mwimbo wengi wameuangalia mara hata 1000 au zaidi..
Uongozi wa JPM ni habari nyingine... Magufuli 2020
Usisahau pia kuangalia namba ya walioangalia hizo videos ikiwa na waliorudia rudia wakiwemo.. nimechungulia baadhi naona average ni kama 21k eeh. Kuna za elfu kumi na pia.. sasa hao followers zaidi ya millioni kwanini hapati angalau views hata 500k... eeeeh na wale walipiga kampeni waangalie kideo mchana usiku kwa kurudia.. eeeh na mitaani haisikiki.. sasa uoni umepotea ha ha haa
Mngeshangilia kwamba Kiba angalau anapata pesa zaidi kwa masaa mafupi.. yaani mmemsaidia kama kampeni ya msaada wa kuingiza pesa.. uchaguzi ni habari ingine kabisaaa
lete lingine.. naishia hapo mengine nikiandika mtadakua ha ha haaa
Usisahau pia kuwa Mange bila kumuongelea RC Makonda anabuma.. ndio maan lazima amrushe kwani ndie alimpatia followers wengi kwasababu wanapenda kupata habari za kiongozi jembe.. ingawa bibie anazipindishaga... eeeeh.. nimechoka kuandika sitamalizaaaa..
Usisahau Mange anafuta comments zisizoendana na anayotaka yasomwe kumpa kiki kuwa posts zake zinakubalika anapopingwa.. na pia kujiumia ujumbe na kuuchambua akitaka kujipaisha..
Makonda oyeeeeee
Le Mutuz si mwanzilishi wa JF usikurupuke, uliza uelimishwe. Co Founders ni Max na Mike Mushi, Le Mutuz alinunuwa share Jamii media 3% na siyo JF.Du W. J. Malecela si anashare African Swahili? Hiyo taarifa kama ina ukweli flani hivi,sijajua kwanini Le Mutuz wakianzisha kitu na wenzake baada ya mda anajitoa (mgogoro au kaona fursa zaidi) na yeye anaenda kuanzisha kama hicho, rejea walivyoanzisha JF na Sasa Africa TV/Radio, Kwasasa yupo mbioni kuanzisha na yeye redio yake! Kuna kitu hapa ebu jazia nyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatudharau mitandao ya kijamii ila kwa Tanzania hapa sehem ambayo inamanufaa kidogo na inaweza kuwajenga watu ni jf pekee..Ni mjinga pekee anayeweza kudharau nguvu ya mitandao ya kijamii dunia ya leo.Mwingine anabeza uku nayeye yuko uku jf kama member.Vip kuhusu magroup ya whatsap,fb,insta na social media zingine zinazoweza kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi.athari za hii mitandano kisiasa na kijamii nikubwa zaidi na inafika kila pembe ya nchi kwa namna moja au nyingine sio sio kitu yakubeza.mtoa mada umelisema kimzaa ila ulilolisema ukipanua mawazo ukaangalia nyanza zote utaona ngivu ya hii mitandao ilivyokubwa kuliko ata mikutano ya hadhara,radio na Tv kwa pamoja.
Hivi mwanaume mzima kabisa na pumbu zako unajisikia fahari kujiita mnyonge?Mkuu Mgirik, I salute you. This is the best answer kwenye thread hii. MAGUFULI tupo nae phisicaly na tunamwelewa haswa. Sisi wanyonge ambao ndo wengi tunaifahamu impact ya huyu baba. Uonevu umepungua, uzalendo umerudi na tunajiamini kupita kipindi chochote Kile. 2020 ndo wataelewa. Mimi nipo nyuma ya MAGUFULI no matter what.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba ni VevoUsipenda kuandika kitu usichokijua. Youtube views zinahesabiwa per device not persons.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Cha maana kimo katika ZILIPENDWA, kaskilize na wahenga wenzako!Dah, kweli nimeamini wakinadada wengi wanamchukia Diamond, yaani wimbo wa Kiba kila mtu anajifanya mchambuzi na mtoa statistic za kila aina, sasa ukiusikiliza wimbo wenyewe huoni cha maana, sio mashairi wala video
Sawa Mhenga!Mimi sina upande, wote nasikiliza miziki yao, ila tuache ubishi, kati ya hizo ngoma 2 zilipendwa ni bora kuliko nitongoze. Ni mtazamo wangu wadau msijenge chuki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Seduce Me