erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 587
- 579
Mzee Mamvi alikua maarufu kuliko huyo Mange, na bado ilishindikana kubadilisha upepo. Mange hana madhara kwa CCM.Sikuamini wimbo wa Alikiba kuweza fikisha views million mbili ndani ya masaa 70. This is hilarious kwakweli!
Lakini inabidi tuelewe kuwa hizi views zimeboostiwa na huyu Malikia wa mtandao wa kijamii, Mange Kimambi.
Campaign aliyoifanya sio ya kawaida. Naimani bila yeye angeishia kupata views wasiozidi 1m ndani ya masaa 70.
Kitu nilichogundua ni kuwa huyu Dada si wa kumpuuza. Watu wengi wanamfatilia na kucheza ngoma anayowapigia.
Hii kampain aliyomfanyia kiba ikitokea 2020 akawafanyia wapinzani, CCM tutapotezana.
Ushauri. Everybody has his price. CCM Fanyeni usajiri mapema. Mange si wa kupuuza. 2020 atakuwa na followers zaidi ya 3m.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Sent using Jamii Forums mobile app