Habarini za asubuhi wanajamvi... masaa sita ya nyongeza ya Mange kupromote nyimbo mbovu kabisa kuwahi kutolewa na KingKiba na kujikusanyia viewers wa kutosha yamekwisha; ningeomba wazee wa katuni watutengenezee katuni la KingKiba kupata hiyo habari.
Ubovu wa nyimbo hii ulihojiwa hata JF ni nyimbo haieleweki lkn Mange ameifanya ivunje rekod kwa kuangaliwa zaidi! Lkn tujiulize ni akina nan walioiangalia nyimbo husika?
Yes, binafsi najutia view yangu ivoongezea umaarufu nyimbo ya hovyo kama nnavojutia kura yangu ya mwaka 2015.... I wish withdraw my view.
Mange Mungu anakuona, hayo yanaitwa matumizi mabaya ya umaarufu, ni kweli ww ni maarufu sana hapa Tz, umewafanya hata wanasiasa wajifanye kupost iyo video ili uwasifie au hata wapate followers IG.
Mwisho lkn sio kwa umuhimu, hao viewer ni followers wa Mange na sio shabiki wa Kingkiba, kuprove hili ngoja baada ya promo ya huyu mdada je itaendelea ku_increase number followers at increasing rate? Apa tuelewane AT INCREASING RATE.
Mwisho kabisa sister unatuharibia Bongofleva, bora ungeacha kazi zipate fair competition; team zikompete fairly. Kama kisingizio ni WCB kuungana na kutoa nyimbo pia Kiba anateam yake wangetoa nyimbo. Nmechowapendea WCB wanajibu kwa kaz sio maneno IG km wanavofanya team ya kiba kama akina OmmyD. Sasa kusitishwa promo yako ndo mwisho wa hiyo nyimbo.
Viewers wa Diamond alisema hababaiki kwani ni robot; wa kununua. naomba nimuulize Kiba na team yake je na nyie mmenunua viewers?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app