Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,115
Ha ha ndo kajibrand hivyo...mi huwa nafatilia post zake kwa ajiri ya hilo, yani asipotukana huwa naona post haijakamilika kabisa!Mange ni attentional seeker ama kwangu Mimi naweza sema ana ADHD kwa sababu hata ile ya kusaidia watu anafanya tu ili watu wamtambue na kuamini kuwa anaweza kubadili mambo na kuwa kama atakakavyo yeye.
Hata kwenye siasa naamini yupo kwa faida Fulani tu na Kuna kitu anachotarajia.
Matumizi ya matusi ya nguoni ndiyo huniacha hoi zaidi kukosoa bila matusi haiqezekani? Huyu Dada anatatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
siku nyingine ulipie tangazoHapo kweli umeuza sura
HahahahaaaaNikiwa kama miongoni mwa watu wanaofuatilia mziki wa kizazi kipya nimeona itakuwa sio mzuka kutotia tia neno katika wimbo ambao ni homa ya majiji makubwa yote duniani wanaojua mziki mzuri..kwa tafiti yangu ya siku chache nimegundua wimbo huu wa Ally una maajabu kumi kama ifuatavyo:-
1.Kautoa bila interview wala kuipeleka redioni lakini ndani ya dakika chache maDJ wote wa redio wanayo
2.Imegonga view million ndani ya masaa 38
3.Kafunika pengo la NEYO katika verse ya mwisho kwa verse kali inayofanya ajisifie NEYO kutakuwepo kwani angemharibia wimbo
4.Ni wimbo uliosababisha mpinzani wake kimziki apanic na kutoa wimbo si wimbo comedy si comedy akiwa na mawigi usiku wa manane...for the first time ukiona huo wimbo unaweza ukajua Eric Omond katoa kichekesho kumbe ni wimbo
5.wimbo huu umefanya kipigo cha arsenal,draw ya yanga na ushindi mnono wa Simba S.C isiwe habari ya kuzungumziwa kwa wanamichezo
6.Wimbo huu umefanya tukio la mlipuko ofisi za IMMA ADVOCATES iwe ni habari ya kawaida wakati ni tukio kubwa
7.Imeunganisha maadui wengi katika mitandao ya kijamii
8.imezima story za hamisa mobeto kuzalishwa na Nasib
9.huu wimbo imefanya WCB waingie jikoni kutengeneza booster iizime (soon mtasikia diamond kamuoa zari au diamond kamkubali mtoto aliyezaa na hamisa mobeto)...
10.huu wimbo umefanya niikumbuke password yangu ya kuingilia humu JAMII FORUMS
Seduce MwaaMimi sina upande, wote nasikiliza miziki yao, ila tuache ubishi, kati ya hizo ngoma 2 zilipendwa ni bora kuliko nitongoze. Ni mtazamo wangu wadau msijenge chuki.
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo champ!system against system mbio mingi mixer password kuisahau basi tafrani ila kiba ashukuriwe hii ngoma mpaka password nimeikumbuka..hahahahah!Ulikuwa wapi?
Hili jukwaa bila wewe haliwi kama vilee.
Karibu
ukiropoka weka akiba ya maneno unaweza ukakuta babako unamuita dada kwakuwa anapenda wimbo wa mfalme KIBA maana mpaka jana utafiti unaonyesha ni zaidi ya asilimia 90% ya wanaume wa Kitanzania wenye akili timamu waliousikiliza huu wimbo wa Ally wanaupenda huku wimbo wa MAWIGI JAZZ BAND ukionekana ni kama kionjo cha comedy wa mkali wenu wa instagramDah, kweli nimeamini wakinadada wengi wanamchukia Diamond, yaani wimbo wa Kiba kila mtu anajifanya mchambuzi na mtoa statistic za kila aina, sasa ukiusikiliza wimbo wenyewe huoni cha maana, sio mashairi wala video
Nimeona wanaotaka kuwa seduced wamecharuka.Seduce Me
Halafu nyimbo ni ya patoranking ..diamond ameshirikishwaDiamond tar 1 sep anatoa wimbo na patorankibg so kulikiwa hakuna haja ya kutoa huwo wimbo, kama mtu wa kujifunza kashajifunza watu wengi sana wanamchukia mond either kwa mafanikio yake, husda na pia ulopokaji wake aache dharau maana fans ndo wamemuwek pale. Next time usirudie huu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app