Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Kwani lazima uwataje wcb? mnajaribu kumkuza mtu ambaye hajielewi,hebu acheni watu wafanye mziki,mkitaka tuanze kulinganisha itakua hatuutendei haki upande mmoja mana level ni tofauti kuanzia kuimba hadi kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameumwagia sifa wimbo mpya wa Ali Kiba uitwao seduce me na kusema ni wimbo mzuri wenye maadili, haya ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram
ff9463abcbb0ebe50c1e766201f533b9.jpg
33226884b5b5589e900624115571988c.jpg

.
Maana yake ni 1 kubemba, kutongozwa au tuseme kupotoshwa. Kile wewe msanii ulichofanyiwa ukamkimbia mume ndio hicho sasa.
Ulibembwa yaani ulitongozwa yaani ulifanyiwa kile nyoka alichomfanyia Hawa katika bustani ya Eden.
Umeelewa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii vita kati ya Alikiba na msanii wa level yake blad key itafanya watu vichaa..

Diamond naye inabidi atafute ugomvi na wasanii wa huko Marekani(ndio wa level yake) ili apostiwe hadi na akina Don Moen.
 
.
Maana yake ni 1 kubemba, kutongozwa au tuseme kupotoshwa. Kile wewe msanii ulichofanyiwa ukamkimbia mume ndio hicho sasa.
Ulibembwa yaani ulitongozwa yaani ulifanyiwa kile nyoka alichomfanyia Hawa katika bustani ya Eden.
Umeelewa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani Shusho amemkimbia mume gani au unamsema Madam Flora?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injili na Seduce me vinahusiana nini? Si aache2 gospel ajiunge team Kiba rasmi?????
 
.
Maana yake ni 1 kubemba, kutongozwa au tuseme kupotoshwa. Kile wewe msanii ulichofanyiwa ukamkimbia mume ndio hicho sasa.
Ulibembwa yaani ulitongozwa yaani ulifanyiwa kile nyoka alichomfanyia Hawa katika bustani ya Eden.
Umeelewa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh a'm Sorry nilifikiri namjibu Mbasha.
Nilishindwa kutofautisha Shusho na Mbasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwimbo nikiongea kama shabiki wa mziki mzuri.. Mwimbo wa kawaida sana afadhali ata lupela ila hii wanaipa promo au ndo kusema mziki wa bongo unashuka.. Maana watu wakipa promo nyimbo ya kawada mno..
 
Msanii wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameumwagia sifa wimbo mpya wa Ali Kiba uitwao seduce me na kusema ni wimbo mzuri wenye maadili, haya ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram
ff9463abcbb0ebe50c1e766201f533b9.jpg
33226884b5b5589e900624115571988c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hakuna cha WATU WA DINI wala KUOKOKA, Ni PESA MBELE na MASLAHI. Hakuna cha SHEKHE, MCHUNGAJI, MWIMBAJI WA INJILI, ASKOFU. Wote MATAPELI

- Mimi nilishajiamulia kuishi yangu tu kulingana na maadili tu ninayoyasoma mwenyewe Kibiblia na sheria za nchi. I'm FREE
 
Naona hadi wasanii wa nyimbo za injili washaanza kugawana team..wengine teamkiba na wengine teamWCB
 
Back
Top Bottom