Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
Yule Babu Mchungaji wa kimarekani aliyetabiri mwisho wa dunia kua trh 21 May 2011 ameibuka tena na kudai kua Mungu alitusamehe, ametupa nafasi nyingine. Na amesisitiza kua trh 21 oct. 2011 HAKUTAKUWA NA MSAMAHA TENA, MWISHO WA DUNIA UTATOKEA TRH HIZO. Jaman hv mwaamin ktk haya? Je kuna ukweli wowote juu ya hz tarehe za huyu babu? Na je huyu mtu yupo sawa kiakili kweli? Na analengo gan kwetu /wakazi wa dunia?