Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,711
Mwisho wa dunia ni siku ambayo mwandamu atakapokufa, hataweza kuongea,hataweza kula,hataweza kufanya chochote. Mwisho wake ndio huo, binadamu na viumbe wote wataendelea kuzaliana na kuzaliana na hakutakuwa na ukomo wa maisha ya wanadamu wote kwa pamoja.
Tengeneza mapito yako sasa maana mwisho wa dunia umekaribia, kama una miaka above 60 basi hesabu miaka 20 ya uhakika wa kuishi unaenda kuiaga dunia,na wewe kijana wa miaka miaka 20 hadi 35, baba mama miaka 36 hadi 59 usijione bado una miaka mingi, mwisho wako upo sek1 mbele yako, hivyo ni vyema ukajiandalia makao huko mbinguni, tenda wema tenda wema tenda wema mwisho wa dunia umekaribia.