Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

RIP Mr President Mwanawasa...

Mchango wake mmoja wapo alikua anmshughulikia Fisadi Chiluba sasa sijui walio baki watendelea...so sad
 
Originally Posted by khoryere View Post
hi habari ya uongo imeshusha hadhi ya jf,tulipo soma wengi tuliwaambia watu na wao wakawaambia wengine,Mtu kwao aombe radhi na asikurupuke TENA!!
Mkuu ikithibitika ni ya uongo na nimekurupuka kama unavyodai mbona ntaomba tu radhi kwenye hii forum yetu tukufu.USIJALI
Reply With Quote

Mtukwao, hata kama ikitokea kuwa hajafa, sidhani kama JF itakua imeshuka hadhi. Vyombo vya habari vinavyoheshimika duniani vilisema amekufa, vikasema tena hajafa, na vinaweza kuja kusema tena amekufa. JF nayo inaleta habari kama inavyozipata kama vilivyo vyombo hivyo. Kwa maana nyingine, JF iliandika jana kilichoandikwa na reuters leo. Huoni kwamba ni jambo la kujivunia na si kulaumiana?
 
Zambian vice president denies Mwanawasa dead (Reuters)

Zambia's President Levy Mwanawasa addresses the media in Lusaka in a June 2008 file photo. Mwanawasa died in a Paris hospital on Thursday after suffering a stroke earlier this week, South Africa's Talk Radio 702 reported. (Mackson Wasamunu/Files/Reuters)Reuters - Zambian Vice President Rupiah Banda on Thursday denied media reports that President Levy Mwanawasa had died.
 
dah nilikua kwenye high speed ikanibidi ni bofye zaidi kupata uhakika,kazi bado anayo Chiluba!!!!
 
kuna watu wanatafuta kila sababu kuona kuwa JF haina credibility... Mtu Kwao na wengine ambao wanapata exclusive report unless ni asilimia mia moja corroborated au unaamini source yako basi iweke kama definitive story. Lakini kama haina uhakika au haijathibitishwa iweke kwenye question mark. Ni rahisi zaidi kutoa question mark kuliko kusahihisha kitu kilichotolewa kama ukweli.

Au unaweza kutumia feature ya "tetesi"... ili kuonesha kuwa habari haina ushahidi wote unaotakikana.
 
Binafsi naona JF kila kukicha ndo inavyo zidi kukua na kujipatia umaarufu kama hivi kuna vyombo vingi vya habari hapa Tanzania vinapata news kupitia humhum JF.
Kweli hapa watu tupo update every second.
 
Ila iko kazi humu JF, bado credility yetu haiwezi kushuka hata kwa mawe maana wengi wa wachangiaji humu hawachangii kwa kulipwa (japo wapo wachache) na hivyo watu watasema na kuweka vitu kwa moyo wao na si kwa kusukumwa
 
FACTBOX-Zambian President Levy Mwanawasa reported dead

Reuters - Thursday, July 3 10:54 am

(Reuters) - Zambian President Levy Mwanawasa died in a Paris hospital on Thursday after suffering a stroke earlier this week, a South African radio station reported, quoting a Zambian embassy spokesman.

Following are some facts about Mwanawasa.
* Born on September 3, 1948, the burly and emotional Mwanawasa built his reputation as a lawyer for the former opposition, cultivating an earthy image in the process.
* Mwanawasa suffered a stroke just before an African Union summit in the Egyptian resort of Sharm el-Sheikh. He was rushed to hospital there and later taken to Paris.
* He chaired the Southern African Development Community and was a leading critic of Zimbabwe's President Robert Mugabe, whose widely condemned re-election in a one-candidate vote was a key topic at the summit.
* Mwanawasa became vice president in 1991 after Frederick Chiluba ousted founding President Kenneth Kaunda in landmark multiparty elections.
* He stunned observers soon after winning the presidency in late 2001 by turning on Chiluba and then won vocal Western support for launching the biggest anti-corruption drive since Zambia won independence from Britain in 1964.
* He narrowly defeated opposition leader Michael Sata in a presidential election in 2006. Sata accused Mwanawasa of selling out Zambia to Chinese and Indian companies.
* Mwanawasa has become a favourite of the International Monetary Fund and other Western donors who have extended billions of dollars in debt relief after his crackdown on government spending and anti-graft drive.
* Despite the debt relief package and major investments from China and India, Mwanawasa battled a growing public perception that his strong fiscal record had done little to benefit most of the 11.5 million people in the copper-rich nation.
* Mwanawasa suffered a minor stroke in April 2006 that prompted him to seek treatment in Britain, but in June 2006 he declared himself fit for office.
 
factbox-zambian President Levy Mwanawasa Reported Dead

Reuters - Thursday, July 3 10:54 Am

(reuters) - Zambian President Levy Mwanawasa Died In A Paris Hospital On Thursday After Suffering A Stroke Earlier This Week, A South African Radio Station Reported, Quoting A Zambian Embassy Spokesman.

Following Are Some Facts About Mwanawasa.
* Born On September 3, 1948, The Burly And Emotional Mwanawasa Built His Reputation As A Lawyer For The Former Opposition, Cultivating An Earthy Image In The Process.
* Mwanawasa Suffered A Stroke Just Before An African Union Summit In The Egyptian Resort Of Sharm El-sheikh. He Was Rushed To Hospital There And Later Taken To Paris.
* He Chaired The Southern African Development Community And Was A Leading Critic Of Zimbabwe's President Robert Mugabe, Whose Widely Condemned Re-election In A One-candidate Vote Was A Key Topic At The Summit.
* Mwanawasa Became Vice President In 1991 After Frederick Chiluba Ousted Founding President Kenneth Kaunda In Landmark Multiparty Elections.
* he Stunned Observers Soon After Winning The Presidency In Late 2001 By Turning On Chiluba And Then Won Vocal Western Support For Launching The Biggest Anti-corruption Drive Since Zambia Won Independence From Britain In 1964.
* He Narrowly Defeated Opposition Leader Michael Sata In A Presidential Election In 2006. Sata Accused Mwanawasa Of Selling Out Zambia To Chinese And Indian Companies.
* Mwanawasa Has Become A Favourite Of The International Monetary Fund And Other Western Donors Who Have Extended Billions Of Dollars In Debt Relief After His Crackdown On Government Spending And Anti-graft Drive.
* Despite The Debt Relief Package And Major Investments From China And India, Mwanawasa Battled A Growing Public Perception That His Strong Fiscal Record Had Done Little To Benefit Most Of The 11.5 Million People In The Copper-rich Nation.
* Mwanawasa Suffered A Minor Stroke In April 2006 That Prompted Him To Seek Treatment In Britain, But In June 2006 He Declared Himself Fit For Office.

Ndiyo Kinachotaka Kutokea Tanzania...kwani Hata Watakaowekwa Bado Watakuwa Puppets Kwani Mtego Uliwanasa Na Wao Pia!
Yani Ni Vituko Tu!
Na Ndio Maana Nikasema Wote Upinzani Na Ccm Kaeni Chini..mali Ya Taifa Irudi..serikali Ya Mseto Iundwe!
Ni Maoni Yangu Kwa Mara Nyingine Tena!
Sasa hao hao IMF AMBAO WALIMSAPOTI MKAPA..NDIO WALIMSAPOTI MWANAWASA..IMF NAO WANAMSIKILIZA MMAREKANI KULIKO MCHINA!
SI UNAONA ALIPOLIKOROGA MWANAWASA?
 
HE president Levy Mwanawasa is still alive,God is always great. Lets all play for him. admitted in one of the best hospital in paris,France

What...?! Kuna watu inabidi waonywe kwa kutupotezea muda wetu kujadili KIFO HEWA!

Tunakutakia afya njema Mwanawasa.
 
Mwanawasa hajafa. Yupo salama salimini anavuta hewa ya bure aliyopewa na mwenyezi
 
Ndiyo Kinachotaka Kutokea Tanzania...kwani Hata Watakaowekwa Bado Watakuwa Puppets Kwani Mtego Uliwanasa Na Wao Pia!
Yani Ni Vituko Tu!
Na Ndio Maana Nikasema Wote Upinzani Na Ccm Kaeni Chini..mali Ya Taifa Irudi..serikali Ya Mseto Iundwe!
Ni Maoni Yangu Kwa Mara Nyingine Tena!
Sasa hao hao IMF AMBAO WALIMSAPOTI MKAPA..NDIO WALIMSAPOTI MWANAWASA..IMF NAO WANAMSIKILIZA MMAREKANI KULIKO MCHINA!
SI UNAONA ALIPOLIKOROGA MWANAWASA?

jmushi1,

Sawa lakini, the world economies are so interconnected and interdependent to an extent that you cant just exist on your own! You need global access of almost everything.

Kuhusu Serikali ya Mseto, that's good. You mean even if ccm lose the next election right?
 
jmushi1,

Sawa lakini, the world economies are so interconnected and interdependent to an extent that you cant just exist on your own! You need global access of almost everything.

Kuhusu Serikali ya Mseto, that's good. You mean even if ccm lose the next election right?

Yes hata kama ccm wakiloose!
Lakini ni mara baada ya ccm mtandao kuwajibishwa na WANANCHI KUOMBWA MSAMAHA!
NA PIA MALI ZAO KURUDISHWA NA SHERIA MPYA ZA TAIFA JIPYA KUTUNGWA!
 
Yes hata kama ccm wakiloose!
Lakini ni mara baada ya ccm mtandao kuwajibishwa na WANANCHI KUOMBWA MSAMAHA!
NA PIA MALI ZAO KURUDISHWA NA SHERIA MPYA ZA TAIFA JIPYA KUTUNGWA!

Lini zitatungwa hizi? Bado hakuna pressure groups zinazozaa matunda
 
Waungwana kuna Taarifa kuwa Wizara ya mambo ya Nje ya Ufaransa,imetoa Waraka kwa baadhi ya Balozi za Afrika huko Ufaransa kuwa Rais Levy Mwanawasa hawezi kupona,hivi sasa anaishi kwa kutumia msaada wa Mashine maalumu, wanasubiri maamuzi kutoka Ikulu ya Zambia ambayo toka leo asubuhi kwa muda wa huko (Zambia),wamekuwa kwenye Vikao,kabla ya Makamu wa Rais Rupiah Banda kutoa maamuzi ya nini kifanyike atakapofika Ufaransa kesho asubuhi (Ijumaa).Viongozi wengi wa Nchi za kiafrika wamekuwa wakifika Hospitali toka Jumatano jioni kufuatilia hali ya kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 59,Mabalozi na baadhi ya Viongozi waliofanikiwa kumuona Rais wamekataa kutoa maoni yao kuhusu hali ya Mwanawasa.Tusubiri Mpasuko wa Habari kuhusu hali ya Mwanawasa.Taarifa ya kifo chake ikiwa wazi tutafahamishana hapa.
 
Mbeki naye kaambiwa Mwanawasa kafa,..... sasa sijui tena

Zambia denies President Mwanawasa is dead
Thu Jul 3, 2008 2:41pm BST
By Shapi Shacinda

LUSAKA (Reuters) - Zambia's vice president denied on Thursday media reports that President Levy Mwanawasa had died, saying he was in a stable condition in a Paris hospital.

"The president had (a) satisfactory night at the Percy military hospital in France. The news reports ... are not true," Vice President Rupiah Banda said in a statement.

Earlier on Thursday, South Africa's Talk Radio 702 reported that Mwanawasa had died, quoting a Zambian High Commission spokesman.

South African President Thabo Mbeki told reporters he had been informed by the executive secretary of the Southern African Development Community (SADC) that Mwanawasa had died.

Mbeki called for a minute's silence while attending a remembrance ceremony in Pretoria for victims of a recent wave of xenophobic attacks in South Africa.

"The executive secretary of SADC called me to say the president of Zambia, Levy Mwanawasa, had passed away this morning," he said.

Mwanawasa, 59, an outspoken critic of Zimbabwean President Robert Mugabe, was rushed to hospital on Sunday in the Egyptian resort of Sharm el-Sheikh after suffering a stroke just before an African Union summit.
 
Well I guess, it is 50-50 now. He might be dead or alive, only God knows!!
 
Well I guess, it is 50-50 now. He might be dead or alive, only God knows!!

Unaweza ukawa RIGHT gm...Kwani kufa kwa mwanawasa ni kufa kwa masilahi fulani..where as kuwa kwake hai ni manufaa yao.
Kufa kwake pia kuna upande mwingine wa shilingi...Kwamba mikataba yote mibovu aliyokuwa akitaka kuingia on top of hiyo mibaya amabayo tayari ina exist!
Tunataka mikataba ya kumnufaisha MWAFRIKA..IWE NI YA MCHINA,MWINGEREZA AMA MMAREKANI!
UTU NA UHURU WA MWAFRIKA NI WA KUZINGATIA!
LA SIVYO WANATAKA KUANZISHA VITA AFRIKA!
KAMA WANATAKA KUPIGANIA MASLAHI YAO..WAO NDIYO WAPIGANE MABOMU HUKO KWAO NA ATAKAYESHINDA AJE TUJADILIANE MIKATABA KWA MASLAHI YA WOTE!
NA SI KUJA NA KUIGEUZA AFRIKA BATTLEGROUND KAMA WALIVYOFANYA KWENYE WORLD WAR 1 AND 2!
 
Back
Top Bottom