Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Mods keep it up kwa kuunganisha hii thread.Mbarikiwe sana.
Mtu kwao,asante sana kwa ile breaking news.
Mtu kwao,asante sana kwa ile breaking news.
Jana kulikua na vurugu Kitwe na Lusaka, Watanzania walioko huko wawe waangalifu. Kuna taarifa kwamba Watanzania walikua wanavamiwa
Hivi Vituko Ni Ili Tusijadili Mustakabali Wa Taifa Ama?
Maana Kama Ilivyokuwa Kwa Balali...huyu Jamaa Kafa Na Kufufuliwa Toka Jana Mara Kibao!
Just Kama Chenge...ila Yeye Alikufa Mara Moja Tu Na Tulimsikia Hapa Akiwa Njiani Kutokea Ahera!
Ballali Je?
Yeye Ndiyo Hata Sijui Kama Alikufa Mara Ngapi Na Hata Tarehe Ipi Na Hakuna Aliyeuona Mwili Wake Licha Ya Kwamba Watu Wenye Uwezo Wa Kwenda Ahera Na Kurudi Kama Chenge Kuwepo..wameshindwa Kutuambia Kuwa Kukubali Huko Kifo Cha Ballali Ni Kwasababu Gani?
Ama Kama Alipokwenda Huko Ahera Ndio Alikwenda Kumwandalia Makao Na Aseme!
Jana kulikua na vurugu Kitwe na Lusaka, Watanzania walioko huko wawe waangalifu. Kuna taarifa kwamba Watanzania walikua wanavamiwa
God sometimes anaonekana hayuko fair...kamchukua L. Mwanawasa na kumuacha R. Mugabe mwenye miaka 84 akiwa anadunda..!!??
R.I.P Levy Mwanawasa.
Kwa mujibu wa Reuters, Rais Mwanawasa bado yu hai. Wamemkariri Makamu wa Rais wa Zambia
Yebo, mwache Mungu aitwe Mungu kwani yeye siku zote yuko fair kwa waja wake. Ardhi ya zimbabwe ni kwa ajili ya wazimbabwe na si vinginevo.
RIP Mwanawasa.