Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

hi habari ya uongo imeshusha hadhi ya jf,tulipo soma wengi tuliwaambia watu na wao wakawaambia wengine,Mtu kwao aombe radhi na asikurupuke TENA!!

Hii thread jana ilifungwa,mara ikaamishwa,mara ikawa tetesi na sasa ni reported!
Wachina kwa kupitia xihua/english wametoa taarifa za makamu wa Rais....Ufaransa nao walitoa zao na hata CHENGE alizileta hapa jana.
Sasa za Tanzania ni zipi?
 
Nawasubiri mahesabu na wembe mkali!
Halafu mjadala utakuwa safi tu...Hapa niko mimi na Kunguru mweupe!

Mushi sorry for this (no pun intended) but you seem to be an intellectual or a man of good understanding from your writings but honestly at times, you sound like you are not. Man I really hope you try to adjust seriously. Hapa JF tunaheshimu mawazo ya kila mtu (lakini ni vema na sisi tukaheshimu wale consumers wa hayo mawazo yetu) Maana kuna mengine unaandika mpaka ndugu yangu wa Kazuramimba anaweza kujiuliza kiwango cha uelewa wako.

Otherwise, kama Mwanawasa ametangulia mbele ya haki, sisi tuliobaki hatuna budi kuyaendeleza yale mazuri aliyotuachia (vita dhidi ya ufisadi). Kuhusu Bwana Balali kuna thread yake humu kaifufue tujadili dukuduku lako muungwana wa UESIEI. Hapa "tunaomboleza" msiba wa mwenyekiti wetu wa SADC.


Masanja,
 
Quote:
Originally Posted by Halisi View Post
Jana kulikua na vurugu Kitwe na Lusaka, Watanzania walioko huko wawe waangalifu. Kuna taarifa kwamba Watanzania walikua wanavamiwa
Halisi
Kitu gani kilisababisha hao wa TZ wavamiwe?ni hizo tetesi za huu msiba Levi?

Single D, bahati mbaya sana mtu aliyenipa taarifa hizo yuko Ndola na amepata taarifa kutoka kwa madereva wenzake walioko Kitwe na Lusaka kwamba jana baada ya taarifa za kifo cha Mwanawasa, Watanzania na wageni wengine walianza kuvamiwa na wengine kufukuzwa, lakini baadaye hali ikatulia baada ya serikali kukanusha taarifa za kifo hicho. Hali ikaanza tena kuwa ya wasiwasi leo baada ya kusikika tena kuwa amefariki kabla ya serikali tena ya Zambia kusema hajafa. Hayo ndio mambo ya serikali zetu za Kiafrika kuwa haziaminiki kutokana na kutojiamini kwao.
__________________
 
Mushi sorry for this (no pun intended) but you seem to be an intellectual or a man of good understanding from your writings but honestly at times, you sound like you are not. Man I really hope you try to adjust seriously. Hapa JF tunaheshimu mawazo ya kila mtu (lakini ni vema na sisi tukaheshimu wale consumers wa hayo mawazo yetu) Maana kuna mengine unaandika mpaka ndugu yangu wa Kazuramimba anaweza kujiuliza kiwango cha uelewa wako.

Otherwise, kama Mwanawasa ametangulia mbele ya haki, sisi tuliobaki hatuna budi kuyaendeleza yale mazuri aliyotuachia (vita dhidi ya ufisadi). Kuhusu Bwana Balali kuna thread yake humu kaifufue tujadili dukuduku lako muungwana wa UESIEI. Hapa "tunaomboleza" msiba wa mwenyekiti wetu wa SADC.


Masanja,

Hii ni thread ya MWANAWASA NA INAHUSIANA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWANI YEYE KAMA MWENYEKITI WA AU...NA SISI KAMA SPECIFICALLY A SUB SAHARAN...THEN YOU KNOW NANI HAJUI KITU!
KWANINI UNARUKA RUKA BALLALI AKITAJWA!
NAONA UMEPEWA HADI TANO!
MIMI NAOMBA TWENDE HOJA KWA HOJA!
HOJA ZANGU KARIBIA ZOTE ZIMESHINDA..WE SUBIRI UTAONA..NA HATA KITABU NIKITOA...I PROMISE YOU...IT WILL BE BEST SELLING!
 
Pumzika kwa amani LEVY MWANAWASA!MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI!
Ameni
 
Single D, bahati mbaya sana mtu aliyenipa taarifa hizo yuko Ndola na amepata taarifa kutoka kwa madereva wenzake walioko Kitwe na Lusaka kwamba jana baada ya taarifa za kifo cha Mwanawasa, Watanzania na wageni wengine walianza kuvamiwa na wengine kufukuzwa, lakini baadaye hali ikatulia baada ya serikali kukanusha taarifa za kifo hicho. Hali ikaanza tena kuwa ya wasiwasi leo baada ya kusikika tena kuwa amefariki kabla ya serikali tena ya Zambia kusema hajafa. Hayo ndio mambo ya serikali zetu za Kiafrika kuwa haziaminiki kutokana na kutojiamini kwao.
__________________

Hao ni supporters wa MWANAWASA...Sasa akitangazwa amekufa watawaminya wabongo kwani hao masapota hawakutaka MUGABE AIBUKE KIDEDEA...Wao ni upande wa TSIVANGIRAI..Na matumaini yao yote yalikuwa ni kwa mwenyekiti wa AU ambaye ni RAIS WA TANZANIA NA AMBAYE ALIKATAA BALLALI ASILETWE!
MAKES SENSE?
 
Habari hii inanifanya nipate mshituko kidogo. Hasa maeneo niliyowekea msisitizo. Viongozi wa Dunia ya sasa wana matatizo makubwa


Zambian President Mwanawasa Is Alive, Government Says (Update1)

By Geoffrey Kapembwa and Nasreen Seria

July 3 (Bloomberg) -- Zambian President Levy Mwanawasa is alive and reports that he died in a Paris hospital after suffering a stroke are ``false,'' said Mike Mulongoti, chief government spokesman.

Johannesburg-based 702 Talk Radio said Mwanawasa had died, citing Malone Zaza, the head of protocol at Zambia's High Commission in Pretoria, South Africa. The commission told Bloomberg there was no one employed at the embassy by that name.

``The president is still alive,'' Mulongoti said in comments broadcast by two radio stations, state-owned Zambia National Broadcasting Corp. and QFM, in the Zambian capital, Lusaka today. ``All the rumors being peddled should be treated as false.''

Mwanawasa, 59, was flown to the Percy military hospital near Paris on July 1 after suffering a stroke in Egypt on June 29, where he was attending an African Union meeting. He came to power in Zambia, Africa's biggest copper producer, in 2001 and was elected to a second term in office in 2006.

The French Foreign Ministry said Mwanawasa was being treated at the hospital, declining to comment further on the state of his health. Zambian Finance Minister Ngandu Magande said he was told at a briefing by Foreign Affairs Minister Kabinga Pande at 10 a.m. local time today that Mwanawasa's condition was stable.

The Zambian president, who holds the current rotating chairmanship of the Southern African Development Community, has been a vocal critic of Zimbabwean President Robert Mugabe, breaking with a tradition among other southern African leaders of not criticizing their counterparts in the region.

To contact the reporter on this story: Geoffrey Kapembwa in Lusaka via the Johannesburg bureau at +27- abolleurs@bloomberg.netNasreen Seria in Johannesburg at nseria@bloomberg.net
Last Updated: July 3, 2008 08:14 EDT

http://www.bloomberg.com/apps/news?pid=20601116&sid=abVXoEs8.2hQ&refer=africa
 
Kwa hiyo serikali ya Zambia inasubiri muda muafaka ndiyo watangaze???
 
Wale niliowaambia the NEW SCRAMBLE FOR AFRIKA IS ON THE MAKE WAKABISHA!
SASA HAMUONI KILA MKOLONI ANA TAARIFA ZAKE?
SI MFARANSA SI MCHINA SI MNANI VILE...MWINGEREZA!
YANI AFRIKA SHOULD COME TOGETHER JUST LIKE THEY DID!
 
Kunguru MWEUPE..KUNA WATU WANA YAO HUMU NDANI!
BALLALI ALISHIRIKI KUUZA TAIFA LETU!
HAKUNA ALIYE NA USHAIDI WA KIFO CHAKE.
TUNAJUA SIASA ZA SUB SAHARAN NI MOJA..IWE ZAMBIA NA MWANAWASA NA KIKWETE NA TANZANIA!
SISI WENGINE TUNA CONCEPTUAL SKILLS!
TUNA MAKE HISTORY!
WE STEV D..USINIPANGIE CHA KUANDIKA TAFADHALI!

jmushi1, utakubali kuwa mimi na wewe ni moja ya watu wanaojenga jamii na ni sisi tunaoandika au kuhusika katika matukio mbalimbali ndani ya jamii.

Sasa basi nikuulize, tusingeweza kuongea na kuandika kwa nia ya kuridhia au kukosoa yale wengine waliyoandika kuhusiana na matukio au mawazo fulani tungefikia wapi? Ukininyima haki yangu mimi niliyoitumia kistaarab kuandika kuhusiana na kile ulichoandika, huoni kuwa unajiondolea haki hiyo mwenyewe kwa kuandika kutoa pingamizi yako kwa wale wote walioandika yale usiyoafiki kuhusiana na kifo cha Ballali?!

BTW wanaJF, samahani kwa kuacha kuongelea 'taarifa' hizi za msiba badala yake nimeandika kuhusiana na yale jmushi1 aliyoandika...thanx.

SteveD.
 
HE president Levy Mwanawasa is still alive,God is always great. Lets all play for him. admitted in one of the best hospital in paris,France
 
Mwanawasa is dead: official

The Times Online, Sapa and AFP Published:Jul 03, 2008

Zambian President Levy Mwanawasa has died and is likely to be buried within five days, a Zambian government official has told The Times Online.

The official said vice president Rupia Banda, who was acting president while Levy was in Egypt, would act as president until an election was held.

A presidential election would be held within 90 days of death and the new president would serve until Levy's term was due to expire in Sept 2011.

However, Zambian government spokesman Mike Mulongoti today denied that Mwanawasa was dead.

Mulongoti, who is also the Minister of Information, told Sapa that Mwanawasa was still alive after being admitted to hospital in Paris.

Mulongoti was due to hold a press conference in Lusaka later today.

Earlier today, Talk Radio 702 reported that Zambian cabinet ministers and security chiefs were meeting today amid conflicting reports that Mwanawasa had died.

South Africa's foreign ministry said it could not confirm a report that the long standing Zambian leader had died.

"I have not been able to confirm anything, we are trying to contact the Zambians," said spokesman Ronnie Mamoepa.

Mwanawasa was flown to Paris yesterday and was reported to be in intensive care at a Paris hospital this morning, said Vice President Rupiah Banda.

Late last month, Mwanawasa was admitted to a hospital in Egypt, where he was attending an African Union summit.

He had been due to take part in a meeting of the pan-African bloc's Peace and Security Council but was forced to skip the meeting after suffering acute chest pains, before being admitted to hospital.

http://www.thetimes.co.za/News/Article.aspx?id=795665
 
Wana JF na wageni,
CNN pia waliandika na kusema kuwa Mwanawasa amefariki. Ila sasa wanaonyesha LIVE kama BREAKING NEWS kuwa Mwanawasa is still ALIVE.
Anyway ni heri awe amepona maana Africana Zambia yamsubiri kwa mchango wake.
 
hi habari ya uongo imeshusha hadhi ya jf,tulipo soma wengi tuliwaambia watu na wao wakawaambia wengine,Mtu kwao aombe radhi na asikurupuke TENA!!
Mkuu ikithibitika ni ya uongo na nimekurupuka kama unavyodai mbona ntaomba tu radhi kwenye hii forum yetu tukufu.USIJALI
 
Tovuti ya IKULU ya Zambia imeandika hivi.....

President Mwanawasa is alive

Thursday, 03 July 2008
The doctors attending His Excellency Dr Levy P Mwanawasa, SC, President of the Republic of Zambia, are happy with progress made so far and his condition remains stable.

He has continued receiving treatment for hypertension in the Intensive Care Unit and there are no new developments. He had a satisfactory night at the Percy Military Hospital in Paris, France.

The news reports by the British Broadcasting Corporation (BBC), Sky News and other sources are not true.

The First Lady, Mrs Maureen Mwanawasa, and family members, are at the President's bed side. The nation will be kept informed on his condition regularly.


ISSUED BY: HONOURABLE RUPIAH BANDA, MP
VICE-PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF ZAMBIA

DATED: 03 JULY 2008

Link.....http://www.statehouse.gov.zm/index.php?option=com_content&task=view&id=403&Itemid=47
 
Last edited:
Kunguru MWEUPE..KUNA WATU WANA YAO HUMU NDANI!
BALLALI ALISHIRIKI KUUZA TAIFA LETU!
HAKUNA ALIYE NA USHAIDI WA KIFO CHAKE.
TUNAJUA SIASA ZA SUB SAHARAN NI MOJA..IWE ZAMBIA NA MWANAWASA NA KIKWETE NA TANZANIA,ZIMBABWE NA MUGABE NA HATA SAUZ AFRIKA NA MBEKI!
SISI WENGINE TUNA CONCEPTUAL SKILLS!
TUNA MAKE HISTORY!
WE STEV D..USINIPANGIE CHA KUANDIKA TAFADHALI!

JMushi,

Hivi ni vita vitakatifu, kamwe usirudi nyuma na wala usiogope kutoa kile ambacho roho yako inashuhudia kuwa ni cha ukweli. Lakuzingatia ni kwamba hicho kitu kitoke rohoni na wala si cha kinafiki.

Mtu asizuiwe kutoa mchango wake unaoendana na thread hii ATI KWA VILE TU ALIYEKUFA NI MWANAWASA na si Mzee Mugabe! Kinachoonekana humu ni kwamba, watu wengine wanaonesha waziwazi kuwa, wangefurahi sana kama Mzee Mugabe angekufa leo hii. Nashangaa!! Huu si ungwana hata kidogo!
 
Kama wanadamu tunachokiombea ni kile kilicho cha heri kwetu sisi wanadamu ila mara zote tunaheshimu mapenzi ya mungu,Bwana apewe sifa.
 
Halisi.. this report doesn't help either.. is he dead or alive...?

Mkuu Mkjj, swali hilo ni gumu sana kwa sisi Watanzania, hasa kwa huku nyumbani. Nadhani serikali zetu haziwezi kuwa wasemaji wa serikali ya Zambia. Ni lazima waheshimu matakwa ya serikali na watu wa Zambia, ambao ndio wataangalia hali ya usalama ya kwao kama inaruhusu wasema amekufa ama awekwe kwa siku kadhaa kabla ya mambo kuwekwa sawa ndio watangaze. Lakini hapa tunachojadili na kilichonisukuma niweke hiyo story ni mkanganyiko wa dhahiri kwa wenzetu wa serikali ya Zambia. Inaonekana kuna mtu ndani ya serikali ya Zambia anayetoa taarifa kuthibitisha kifo, akiwa nje ya Zambia,wakati wenzake Lusaka wanakanusha. Hata ingekuwa ni Tanzania kwa mazingira yetu hali ingekua kama ilivyo kwa Zambia.
 
Back
Top Bottom