Obama na urais wake / uraia

Some people are sick...!


[ame=http://www.youtube.com/watch?v=XKSq4k2x4SU]YouTube - Alan Keyes ripping our "president"[/ame]
 
Kama raia wa Marekani chini ya katiba yao Keyes ana haki ya kusema alicho kisema. Katiba yao wenyewe ime ruhusu free speech. Mimi nadhani ni juu ya Wamarekani wenyewe kumhoji raisi wao juu ya maswala yanayo husu nchi yao. It's not the business of any non American. Kwa sisi wengine tunaweza kuhoji tu kama anacho kifanya kina athiri watu waliopo nje ya mipaka ya nchi yake.

Lakini kuna kauli mbili contradicting katoa huyu jamaa inayo nifanya niquestion credibility ya aliyo sema.
!.Akasema kama vile ana uhakika kuwa Obama siyo raia wa kuzaliwa wa marekani.
1.Akasema, "May or may not be..." Sasa iweje kauli ya juu anaongea kana kwamba ana uhakika 100% na chini anasema yawezekana?

Naona jamaa ni extremist tu. Baadhi ya kasoro za Obama alizo taja zinaweza zikawepo lakini kwa jinsi anavyo ongea mtu lazima ujiulize kama anaongelea kweli kutokana na machungu kwa nchi au ana kitu binafsi zidi ya Obama?
 
Huyu ana donge binafsi na Obama. Alimshinda katika kinyang'anyiro cha senate jimboni Illinois.
 
Apparently Patrick Buchanan is too white to discourse this unfounded and unfortunately dinosauric diction, so a black Uncle Tom had to be found to do this dirty bidding.I wouldn't be surprised to find out that even Fox News (the idea that a "news" channel ought to call itself "Fox" should give you an idea) was too principled for this garbage.

One has to only look at Alan Keyes' "ndita" to know how unreliably bitter he is.
 
Duu mkuu labda kweli ana bifu naye make haoni jema kwa Obama, yaani ana wivu wa kumtoa kufa!

Huyu anatumiwa na ma neo-racists, Japo yeye mwenyewe ni anajiona yupo huru lakini hata yeye huyu angekuwa WH maracists wangemshambulia tu.

Japo anaoneka kama vile anataka yamaa awe eliminated, maana unaposema we are going to stop him ana maanisha nini?.

Ndiyo maana Holder nataka kuwe na sheria za hate. Unajua mambo kama haya anayoongea huyu jamaa ambaye yeye mwenye ni kituko kwa wazungu maana hata watoto wakimuona wanamuogopa wanadhani mumiani yanaweza kusababisha crazy mmoja aamue kufanya kama walivyomfanyia Dr. Tila.
 
huyu jamaa anachanganya mambo hapa. kwanza ni pro life. pia ni interectual mkubwa , ambao kazi yao kubwa ni kutoa challenge. ko sioni kosa lake, zaidi ya kuwa amezidisha kritisizim.
ukifuatilia material zake ni kichwa cha kutisha. na inawezekana kabisa kwa tanzania, mzee mtikila akawa amemfanya huyu jamaa model wake.
 
Back
Top Bottom