Ni kweli mkuu,mimi naangalia BBC hapa
Aljazeera, SKY news, BBC, CNN na tv channels za Kenya zinarusha coverages za kifo hiki kwa ustadi mkubwa pasipo kuuma maneno.
Pale Kenya ukiwaangalia Citizen tv, Qtv, K24, KBC muda wote ni coverage hii tofauti sana na luninga zetu za kibongo.
channel zetu ilipotokea milipuko ya mabomu na kuzama kwa meli tbc walikuwa wanapiga taarabu na channel nyingine tamthilia etc
hivo usishangae.
Siamini kama obama atahudhuria...
Yani kuna watu hatawasipoenda hamna mtu anawaulizia mfano ndovu