Naona baba rizim kajiweka pembeni anauza thura...!
mbona ktk mobile hakuna picha?
Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol
Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap.Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto?
mbona ktk mobile hakuna picha?
Muungwana angejiskia vibaya sana. Kaifungia safari hiyo snap.
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!
Angeinua wa kushoto ingekuwa bomba sana
Nahisi alishanyoosha ila JK akawahi kumuambia 'unaniziba bwana' ndio akachenji mkono.Kwanini asingenyoosha mkono wa kushoto?