Obama kaharibu picha

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,544
21,004
obama_photo.jpg
Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol
 
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!
 
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!

Ndenga kwa tafsiri ya kwetu ni ajali. Mchango wako kwenye hii post umeshabihiana sana na tafsiri ya Jina lako.
 
Doh Baba naniii hapo confo zero maana kazungukwa na mipandikizi ya kiuchumi na kisiasa, hakawii kaambiwa soga hapa dogo na wewe uonekane si unaona sura nyingine hizo zinajiamini sana tu ila ya Baba Riz, dah hana uhakika what neksti
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom