michibo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,212
- 3,656
Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya.....
Kwanini unaita bahati mbaya..?
Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya.....
Jamaa Social Media kuna watoto wakare kinooma aisee ukiingia mitaa ya instagram na facebook unaweza maliza siku nzima...unaperuzi tuuuNije Kutafuta Demu Jf? Hapana, Halikua Lengo Langu Hilo, Sijawahi na Haitakaa Itokee Nikatafuta Mwanamke Kwenye Social Media
Khaa nimechekaa sanaaawatu wanalazimishwa kuoga,,kupimwa tezi dume na kusajili ndoa...furaha itoke wapi??
😂😂 sio nyuuyoki tu mkuu mpaka losanjezii watu wamenunaDar ni Jiji, na moja ya sifa ya jiji ni kununa na kuwa serious, hata nyuuyoki,London watu wamenuna kwenye matreni na madaladala yao,ndiyo tunasema bongonyuuyoki.
Hili swali la msingibefore yakuhamia kwa makonda ulikuwa unaishi wapi tulinganishe uzito wa hoja yako
Unalazimisha Hicho Kilicho Kichwani Mwako Kiwe na Kwangu, Mimi Sipo Huko Mkuu, Nina Miaka Si Chini Ya Sita tangu niwe Jf, Nije Kutafuta Mrembo Leo?Jamaa Social Media kuna watoto wakare kinooma aisee ukiingia mitaa ya instagram na facebook unaweza maliza siku nzima...unaperuzi tuuu
PoleSmile kwa Mkeo, Mumeo au wanao...Bongo ya sasa ni sura ya Mbuzi tu nitabadamu kwako we ndugu yangu au? utanisaidia nini kwa mfano?.kila mtu kwa sasa anapambana na hali yake..
Mfumo si rafiki hasa kwa sisi ambao tulizubaa kuweka mitego ya pesa toka mwanzo.
Hakuna sehemu mzunguko wa hela ni mdogo Kama iringaMikoani kutamu jamani!! Mfano Iringa town, kamji kasafiii aafu hewa nzuriiiii km nyuuyoki vilee
Na baridi hii mtu anataka tuoge...!!Hawapendi kuoga,
Sasa wakilazimishwa Furaha itoke wapi......!
duh yaani dar nzima kila mtu ni kanumba? sasa kiaje?Sasa lakini muwe angalau mna tabasamu mna mtisha jamaa kila mtu Kanumba looooh