Nyuso zisizo na furaha kwa wakazi wa Dar

Dar ni Jiji, na moja ya sifa ya jiji ni kununa na kuwa serious, hata nyuuyoki,London watu wamenuna kwenye matreni na madaladala yao,ndiyo tunasema bongonyuuyoki.
 
Uchumi umekwenda recess furaha itoke wapi? Hali ya furaha huanzia nyumbani, wewe na wanao mmekula, wanasoma shule nzuri, nawe una afya njema, una muda wa kutembelea jamaa, ndugu, marafiki, unamuabudu Mungu katika roho na kweli.
 
awamu ya 5 haitazami sura, wanachojali watu watembee vifua mberee tu bila kujali makunyanzi ya usoni.

kesho utupe mrejesho, je wanatembea vifua mberee kama wamepigwa ngumi ya mgongo??
 
Jamaa Social Media kuna watoto wakare kinooma aisee ukiingia mitaa ya instagram na facebook unaweza maliza siku nzima...unaperuzi tuuu
Unalazimisha Hicho Kilicho Kichwani Mwako Kiwe na Kwangu, Mimi Sipo Huko Mkuu, Nina Miaka Si Chini Ya Sita tangu niwe Jf, Nije Kutafuta Mrembo Leo?
 
Mikoani kutamu jamani!! Mfano Iringa town, kamji kasafiii aafu hewa nzuriiiii km nyuuyoki vilee
 
Smile kwa Mkeo, Mumeo au wanao...Bongo ya sasa ni sura ya Mbuzi tu nitabadamu kwako we ndugu yangu au? utanisaidia nini kwa mfano?.kila mtu kwa sasa anapambana na hali yake..
Mfumo si rafiki hasa kwa sisi ambao tulizubaa kuweka mitego ya pesa toka mwanzo.
 
  • Thanks
Reactions: Gru

Pole
 
Ngoja sisi wakulima tuendelee kupambana vijijini huku nyie endelea kupambana na Usafiri
 
Back
Top Bottom