Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.
Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.
Siwezi kuweka video au picha kwa usalama na privacy ya Mheshimiwa. Tunaujua hakai hapa Sasa baada ya kuhamia Chanika lakini hapa ni kwake na huwa anakuja.
Ni kitu cha kutoa agizo kwa viongozi wa chini kushughulikia hii aibu. Pili atusaidie kutengeneza barabara toka Maji chumvi kuja kwa Swai. Kwani huitumia anapokuja kwake ni mbovu saana.
Mheshimiwa Dr Mpango sema neno sisi wanajumuia wenzako na wananchi wako tupone kwa uwepo wako karibu na sisi.
Siyo dhambi wa rushwa wala matumizi mbaya ya madaraka.