Nyumba ya Mheshimiwa Makamu wa Rais Dr. Mpango, iliyoko Tabata Kisukuru kwa Swai maji taka yanapita yanapita kwake.

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
1,000
1,175
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.

Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.

Siwezi kuweka video au picha kwa usalama na privacy ya Mheshimiwa. Tunaujua hakai hapa Sasa baada ya kuhamia Chanika lakini hapa ni kwake na huwa anakuja.

Ni kitu cha kutoa agizo kwa viongozi wa chini kushughulikia hii aibu. Pili atusaidie kutengeneza barabara toka Maji chumvi kuja kwa Swai. Kwani huitumia anapokuja kwake ni mbovu saana.

Mheshimiwa Dr Mpango sema neno sisi wanajumuia wenzako na wananchi wako tupone kwa uwepo wako karibu na sisi.

Siyo dhambi wa rushwa wala matumizi mbaya ya madaraka.
 
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake. Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua. Siwezi kuweka video au picha kwa usalama na privacy ya Mheshimiwa. Tunaujua hakai hapa Sasa baada ya kuhamia Chanika lakini hapa ni kwake na huwa anakuja. Ni kitu cha kutoa agizo kwa viongozi wa chini kushughulikia hii aibu. Pili a tusaidie kutengeneza barabara toka Maji chumvi kuja kwa Swai. Kwani huitumia anapokuja kwake ni mbovu saana. Mheshimiwa Dr Mpango sema neno sisi wanajumuia wenzako na wananchi wako tupone kwa uwepo wako karibu na sisi. Siyo dhambi wa rushwa wala matumizi mbaya ya madaraka.
Hiyo mara moja moja anapokuja hapo huambatana na Mkewe tunayemjua na Ua Jingine tusilolijua?
 
Sasa kama ni mwana jumuiya mwenzako na katika jumuiya huwa na daftari ambalo huwa na namba ya kila mwana jumuia kwanini tu usingempigia simu, mpaka uje umwanike hapa.
::Ujirani ni hadhi kubwa kuliko cheo. (kwani upo katika amri za mungu) kwenye amri za mungu hakuna neno cheo.
 
Sasa kama ni mwana jumuiya mwenzako na katika jumuiya huwa na daftari ambalo huwa na namba ya kila mwana jumuia kwanini tu usingempigia simu, mpaka uje umwanike hapa.
Acha aanikwe yeye ni Kiongozi wa umma.

Hizo ndio gharama zake kinyume cha hapo aache ofisi ya uma.
 
Picha hapana siweki kwa heshima ya mkuu. Ila ni mjengo mzuri wa ghorofa moja.
Heshima ikizidi Sana huwa ni sawa na ujinga tu. Matter of fact huyu Philip Mpango ni Vice president na office yake inahusisha Mazingira na muungano kwahiyo ni vyema ukaweka picha tuhakikishe.
 
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.

Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.

Siwezi kuweka video au picha kwa usalama na privacy ya Mheshimiwa. Tunaujua hakai hapa Sasa baada ya kuhamia Chanika lakini hapa ni kwake na huwa anakuja
Kama yeye ameridhika nayo wewe unawashwa nini? Je ni hapo tu ulipoona maji taka yakitiririka jiji zima? Hujaona chemba za maji taka zinazocheua katikati ya jiji na City council wenyewe wameridhika na wako kimya?
 
Heshima ikizidi Sana huwa ni sawa na ujinga tu. Matter of fact huyu Philip Mpango ni Vice president na office yake inahusisha Mazingira na muungano kwahiyo ni vyema ukaweka picha tuhakikishe.
73277050_139285434118507_3215921951893618688_n.jpg
 
Heshima ikizidi Sana huwa ni sawa na ujinga tu. Matter of fact huyu Philip Mpango ni Vice president na office yake inahusisha Mazingira na muungano kwahiyo ni vyema ukaweka picha tuhakikishe.
Unachosema ni kweli mkuu. But my instincts keeps telling me ' Don't.. Don't. It will be a violation of somebody' s privacy / rights.
 
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.

Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.

Siwezi kuweka video au picha kwa usalama na privacy ya Mheshimiwa. Tunaujua hakai hapa Sasa baada ya kuhamia Chanika lakini hapa ni kwake na huwa anakuja.

Ni kitu cha kutoa agizo kwa viongozi wa chini kushughulikia hii aibu. Pili atusaidie kutengeneza barabara toka Maji chumvi kuja kwa Swai. Kwani huitumia anapokuja kwake ni mbovu saana.

Mheshimiwa Dr Mpango sema neno sisi wanajumuia wenzako na wananchi wako tupone kwa uwepo wako karibu na sisi.

Siyo dhambi wa rushwa wala matumizi mbaya ya madaraka.
Mwanasiasa Tz anapewa kila kitu, licha ya kujilimbikia malipo wasiyostahili, na bado tunafuatwa mpaka JF tukamtengenezee nyumbani kwake. Ccm tawala milele, kama wanaotawaliwa ndio hawa!!
 
Mkuu huku nielewa vizuri, siyo kuwa atengenezewe yeye Dr Mpango. Hayo maji taka yameharibu barabara ya umma inayo pita pembezoni mwa nyumba yake. Hivyo kutupa sisi wapita njia karaha ya kukanyaga maji taka. Hivyo tu.
 
Back
Top Bottom