Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,424
- 9,359
Hivi upinzani maana yake ni Chadema?Heshimuni Mamlaka.
Chadema msimfanyie Dhihaka Rais.
Kwanini hampendi kuona nchi hii ikistawi??
Kila mara vurugu , maandamano na kumwaga damu.
Acheni kuwa mawakala wa shetani.
Mbona sisikii vyama vingine kama CHAUMA, ACT, TLP, na vingine? Au hivi ni matawi ya ccm?
Huenda hawa cdm ni mawakala haiwezekani ni wao tu