Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

CDM msipokuwa makini mnaweza kuwa maadui wa hii nchi na kupopolewa na mawe kila mahali msipojirekebisha na kufanya siasa zilizokomaa sio huu utoto
Wanashindwa kuelewa kuwa kwa jinsia yake tu tayari Rais ana mtaji wa huruma kutoka kwa 50% ya waTZ wote
 
Kwa hiyo mtuhumiwa kupekuliwa na dola nyumbani kwake ni makosa?....

Sio kupekua tu boss, waanzishe hata ofisi hapo nyumbani kwake. Ila hizo ni mbinu so outdated. Juzi kuna watu wamekutwa wamejiunganishia bomba la mafuta, na hakuna hatua zozote wamechukuliwa. Lakini polisi wamebaki kuendekeza siasa za kizee!
 
Wapekue tu vizuri

Hamna cha kupekua hapo, wao waende nazo kabisa maana kwenye vituo vya polisi, kuanzia unga, silaha, mpaka vilipuzi wanavyo, ni suala la wao kutekeleza walichotumwa ili kuwaridhisha watawala. Maana hao polisi wasipotekeleza watakacho hao majizi ya kura wataondolewa kwenye sehemu za kulia rushwa.
 
Kama kuna watu wanaupenda na kuufurahia ubunge ni Heche, hadi ametoka kitambi! Halafu leo hao akina Heche wanalalamika wabunge hawalipi kodi wakati wenyewe wamekuwa wabunge zaidi ya miaka 10, hawajawahi kulipa hiyo kodi wala kulalamika bungeni kuwa why hawalipi kodi. Watu wanaowaamini hawa akina Heche huwa nawashangaa sana
Lema, Heche, Msigwa, Sugu na Mbowe hawakuwa wamejiandaa maisha nje ya ubunge.

Mpaka leo bado wana hangover ya ubunge na inawaumiza mnoo. Walipokonywa tonge mdomoni.
 
Heshimuni Mamlaka.

Chadema msimfanyie Dhihaka Rais.

Kwanini hampendi kuona nchi hii ikistawi??

Kila mara vurugu , maandamano na kumwaga damu.

Acheni kuwa mawakala wa shetani.
 
Wasije wakamuwekea madawa ya kulevya...CCM hawana maana yoyote.
 
Back
Top Bottom