Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

Mama kama itakupendeza, mtoe Sabaya mrudishie ile wilaya yake na kama ikikupendeza mrudishe Makonda Dar es salaam...

Utoto utoto usio na maana kwa maslahi ya wajinga wachache ufike mwisho sasa, JK aliachia hawa watu wafanye siasa wakawa wajinga na kufanya mambo ya hovyo mpaka kumuita dhaifu...JPM akaja akawapiga pini mpaka tukawaonea huruma huku wenyewe walituambia wanataka Rais mwenye maamuzi, dictator na mkali...JPM ametwaliwa na mwenye mamlaka amekuja Mama mwanzoni amejaribu kuishi kwa busara na kuanza kuwasikiliza wameanza tena maujinga ya awamu ya nne kutaka kuipanda dola kichwani..hakuna namna..

Egypt ilitokea shida pale na wanasiasa wakabaki wanalumbana na ujinga mwingi usioisha kila siku...El-sisi akaamua kuwa mndava na kuweka pamba masikioni ili nchi ikae sawa...leo tunaona Egypt angalau ina utulivu, ELsisi angeanza kuwabembeleza leo hii egypt ingekuwa kwenye machafuko makubwa....Mama kuwa mndava kwa wajinga wajinga..

Tatizo la Tanzania sio Katiba, ni umasikini, ukosefu wa ajila, maradhi, na mijitu mijinga miiingi...
Wewe ni Mku................
 
Tegenea mabadiliko makubwa sana. Sababu mama amekaa kimya kuona aliowateua wanaendana na demokrasia ya kiuchumi.muda upo
 
Kumbe tumebadilisha jinsia tu, mengine yote yana remain constant.
hahaha mbna hakuna alieanywa kilema ni upekuzi tu unafanyika of which hakuna kosa katika hilo ama mnataka wale red briged wawapekue?
 
Mnapekua nyumba kuitafuta Katiba Mpya au?

Wacha polisi wafanye kazi yao, mengine yatajilikana mbele meanwhile umri unaenda wekeza nguvu zako katika sehem zenyewe mashiko! mwaka wa kumi sasa nasoma mabandiko yako
 
Wewe ni Mku................

unapenda kubembelezwa na kushikwashikwa inaonekana...muda wa kuwapakata ulishaisha..huu muda tuutumie kufanya kazi kujenga nchi..JPM ametufundisha kitu, hii miruzi yenu tukiiaikiliza sana tutapoteza muda tu..
 
Biashara hasara ya kupima watu mkojo kwa lazima naona inakaribia kurejea kwa kasi. CDM baada ya Mbowe inapaswa kuongozwa na Heche, hakuna kupamba hakuna kuremba katika kukabiliana na mtesi wako.
 
Back
Top Bottom