Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

Wapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Haina shida ndiyo upeo wa kufikiri wa UVCCM unapoishia kwamba upinzani ni uhalifu futeni upinzani mvipige mabovu ofisi zote za upinzani
 
Ndiyo hao hao wahuni waliowabambikia maelfu ya Watanzania ikiwemo Viongozi wa Chadema kesi FEKI za uchochezi na uhujumu uchumi ambazo sasa zimefutwa. Acha kujitoa ufahamu.

Search and seizure ni sehemu ya kazi ya jeshi la polisi.
 
Tatizo la Tanzania sio Katiba, ni umasikini, ukosefu wa ajila, maradhi, na mijitu mijinga miiingi...
Hapa Sina la kusema kiongozi.
Sema wao wanatafuta Ile public attention or capital.
Tena huyo Heche Kuna mtu alimfia huko Nyanungu kata ya engwe akahaidi kuwa atamjengea mjane.
Ile kuzama tu mjengoni akasahau.mchanga ukasombwa na mafuriko pia tofali zimeshaoza
 
eti utawala wa kidikteta kwa sababu kakamatwa Mbowe, Heche na wengine kutoka CDM..hivi utawala wa kidikteta mnaujua kweli au ndio mnauombea uje?.... msawahi kuziwa kutoka nje baada ya saa 12 jioni, mshazuiwa kutotembea hovyo mchana na kuulizwa Id muda wote na doria mtaani + road blocks daily...nk msiombee hivi vitu visikieni tu...
 
CDM msipokuwa makini mnaweza kuwa maadui wa hii nchi na kupopolewa na mawe kila mahali msipojirekebisha na kufanya siasa zilizokomaa sio huu utoto
 
Hapa Sina la kusema kiongozi.
Sema wao wanatafuta Ile public attention or capital.
Tena huyo Heche Kuna mtu alimfia huko Nyanungu kata ya engwe akahaidi kuwa atamjengea mjane.
Ile kuzama tu mjengoni akasahau.mchanga ukasombwa na mafuriko pia tofali zimeshaoza
Kama kuna watu wanaupenda na kuufurahia ubunge ni Heche, hadi ametoka kitambi! Halafu leo hao akina Heche wanalalamika wabunge hawalipi kodi wakati wenyewe wamekuwa wabunge zaidi ya miaka 10, hawajawahi kulipa hiyo kodi wala kulalamika bungeni kuwa why hawalipi kodi. Watu wanaowaamini hawa akina Heche huwa nawashangaa sana
 
Wacha polisi wafanye kazi yao, mengine yatajilikana mbele meanwhile umri unaenda wekeza nguvu zako katika sehem zenyewe mashiko! mwaka wa kumi sasa nasoma mabandiko yako
Unanifundisha uwekezaji kama unanifahamu vile, mtaji wa CCM ni wajinga wa sampuli yako.
 
Back
Top Bottom