Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

Heshimuni Mamlaka.

Chadema msimfanyie Dhihaka Rais.

Kwanini hampendi kuona nchi hii ikistawi??

Kila mara vurugu , maandamano na kumwaga damu.

Acheni kuwa mawakala wa shetani.
Hivi upinzani maana yake ni Chadema?
Mbona sisikii vyama vingine kama CHAUMA, ACT, TLP, na vingine? Au hivi ni matawi ya ccm?
Huenda hawa cdm ni mawakala haiwezekani ni wao tu
 
Muondoe pale ikulu huyo Samia wako uone kama atalaumiwa tena, maamuzi yake ya hovyo ndio yanasababisha mambo yachukuliwe personal, learn to think japo najua akili zako ndogo.

Dogo mm nshavuka stage uliopo saaahv, ni kama bado hujajitambua wacha nkuache uendelee ivo ivo, ongeza post za kutosha mdogo wangu
 
Huyo mama huyo ×2
Hayo maneno yenu mliyaanza wenyewe sasa mwaiona ngondo mwafunga milango.

Wapi Banza Stone mtoto wa mwananyamala?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom