Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,137
- 27,088
Biashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
Biashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
Nyumba 20 labda aishi miaka 2000Target yake afkuiste nyumba 20, bado anajenga lakini bila stress. Anasubiri mwezi wa 12 balance Ina soma milioni 42.
Kwangu mimi ninamuonea ameyapatia maisha lakini ni mtu simple sana hana makuu. Ana IST anatembelea mjini.
kwa hiyo anayetembelea IST ndiye hana makuu na ni mtu simple, Wakuu mnafurahisha sanaTarget yake afkuiste nyumba 20, bado anajenga lakini bila stress. Anasubiri mwezi wa 12 balance Ina soma milioni 42.
Kwangu mimi ninamuonea ameyapatia maisha lakini ni mtu simple sana hana makuu. Ana IST anatembelea mjini.
Haha sipendagi hiki kitukwa hiyo anayetembelea IST ndiye hana makuu na ni mtu simple, Wakuu mnafurahisha sana
Kwaya masterBiashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
Mama yetu na stori za kubumba.
Hapo sawaKwani chumba na sebule 20 si ni nyumba pia?
Hizi ni akili za kimaskini.Nyumba 20 labda aishi miaka 2000
Real Estate usiwe na hela ya mawazoBiashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
watu msiobahatika kujenga mnavyojipa matumaini!! Mkuu nyumba ndio kila kitublablaa nyingi
WEKA GHARAMA ALIZOTUMIAAAAAAAAA