Real estate kwa kupangisha ni 10-15 years.
Mahesabu ya pesa na biashara ni "tricky" sana.Target yake afkuiste nyumba 20, bado anajenga lakini bila stress. Anasubiri mwezi wa 12 balance Ina soma milioni 42.
Kwangu mimi ninamuonea ameyapatia maisha lakini ni mtu simple sana hana makuu. Ana IST anatembelea mjini.
Kupata hasara ni ngumu sana tofauti na biashara nyingine.Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyungi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha.
Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani ya Denmark. Alileta basic furniture kama fridge, jiko na washing machine.
Ile nyumba ilichukuliwa na kampuni kwa 1.5m kwa mwezi. Aliweza kununua viwanja vingine viwili Mbezi Jogoo na kujenga nyumba mbili nyingine. Amepata kampuni imechukua zote mbili kwa 1m kwa mwezi.
Biashara ya Real Estate inategemea eneo nyumba ilipo na ubora wa nyumba.
Swali zuri sana, kama ulikuwa kichwani kwangu.Sasa unasemaje inalipa kwa kuona mapato bila kujua Cost za uwekezaji...kama katumia Billion 3 sasa kimelipa nini hapo.
Biashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
Any big investment yield high products. Kijana mwenzangu anaagiza Nondo kutoka Uturki. Anaingiza mzigo wa 300M ukifika wafanyabiashara wanauzoa wote ndani ya wiki moja. Anaingiza faida karibu 20M kwa mkupuo. Sijui nami ntafika lini level hiyo.Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha.
Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani ya Denmark. Alileta basic furniture kama fridge, jiko na washing machine.
Ile nyumba ilichukuliwa na kampuni kwa 1.5m kwa mwezi. Aliweza kununua viwanja vingine viwili Mbezi Jogoo na kujenga nyumba mbili nyingine. Amepata kampuni imechukua zote mbili kwa 1m kwa mwezi.
Biashara ya Real Estate inategemea eneo nyumba ilipo na ubora wa nyumba.
wafanya biashara never tell you the truthBiashara zote nzuri na zinalipa ukisimuliwa
naweza kukadiria kila nyumba imekost 300M. Huu sio mfano wa kuigwa kwa sisi walimu wa Kibaigwa. Tuanzw kwanza kuuza chips kuku. Huko tutafika baadaeTungejua payback period ya investment yake tungejua kama anakula faida au bado anakusanya cost alizotumia kujengea hizo nyumba.
si haba lakini kuna wazee hata laki 3 hawapati.ah ah unaweza kuta amefanya kazi miaka 30 mda huu anazeeka anajisifu kupata kodi ya mi 3 kwa mwezi..... anajisifia kua baba mwe nyumba
😅😅😅amkutangaza kwa mazuri.Kunifahamu isiwe sababu ya kuja kunitangaza hapa jf.
Ngoja kwanza Sky, umesema alipata kazi Danish, akapata mke hapo hapo, mke akamchukua hadi kwao denimark, kule kazi akapata ya kule wazee?? aah kama ni hivyo basi sawa.Ameshaacha kazi anaendeleza biashara yake
Wastafu wengi tanzania wanajenga nyumba wakistafu. Unastafu na miaka 60 ndio unajenha nyumba ya 100M.Sky Eclat unataka kustaafu mama. Naona nyuzi za nyumba za kupanga zinapangiliana, au unaanzisha hii long term investment
Ili tujue kama biashara inalipa. Yeye pesa za denishi anakuja kutushawishi tujengee pesa hizi za mataputapuNdio umejibu nini
Hizo ni pesa anazopata ofisini...tuoneshe faida anayopata kwenye nyumba ndio mada
Jamaa alijipanga vizuriHakunieleza gharama za ujenzi ila katika maongezi alinieleza kuwa, alifanya kazi na kuweka. Akifikisha m 20 ana chukua likizo bila malipo miezi miwili anarudi bongo kusimamia ujenzi.