Natafuta nyumba ya kupanga niifanye ofisi

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
384
474
Habarini za leo wakuu? natafuta nyumba ambayo naweza kuifanya office
Sifa za nyumba, iwe inajitegemea, iwe barabarani(iwezwe kuelekezeka, na iwe wilaya ya kinondoni(kawe chini, Mbezi Beach, Mikocheni, Kinondoni yenyewe, Kijitonyama, Mwenge, Sinza, Makumbusho, Msasani, Oysterbey na Masaki

Budget kwa mwezi kuanzia laki 3(300000) hadi laki 5(500,000)
Ikikosekana nyumba basi hata fremu kubwa yenye sifa hizo na maeneo hayo, ukiwa nayo nipigie +255 (0) 719 263 074

NB: ukinipigia uwe nayo kabisa na inayokidhi hivyo vigezo ikiwa tofauti na hapo ile sijui pesa ya kuonyeshwa sitaweza kukupatia

Sent from my SM-A245F using JamiiForums mobile app
 
IMG_0971.jpg
 
Back
Top Bottom