Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
Tangu nachumbia mwanamke anajua kuwa napenda ngono sana. Tunaoana ananipa vizuri tu. Baada ya kuona sasa keshajikita ndani, anaanza kunibania na visingizio kibao mara ooh nimechoka, ati unataka kila siku nk. Wakati mwingine nikiomba najibiwa 'jana si nilikupa, unataka na leo tena?' Sasa mtu kama huyu anategemea nini, kwa nini nisiwe na nyumba ndogo? Haya yanayosemwa ya uchovu, watoto, kukosekana nafasi nyumbani ni visingizio tu. Mie nina nyumba ya kutosha na bed room yangu ina nafasi, na watoto wana vyumba vyao, nanyimwa kwa sababu gani? Namtoa outing tunatumia siku 4 hotelini, bado hata huko ananyima, hadi nikawaza ni pepo au ni nini? Hadi nimefikia kuamini kuwa hakuna ninachoweza kufanya ili mke wangu anipatie unyumba kama inavyopasa, angalao basi kama alivyokuwa ananipa alipokuwa anabembeleza kuolewa! Sasa hapo nisiwe na nyumba ndogo sababu gani?
Hapa sasa hivi mie sina nyumba ndogo, ni kwa sababu tu sijapata mwenye vigezo ninavyohitaji, lakini nikimpata na mimi nalianzisha!
eeeh hizi ndoa za kumbembelezeana nazo khaa! au alikuwa anabembeleza kivipi?
well said hapo nakubaliana na wewe kwamba kweli kuna baadhi ya wanawake wa aina hiyo kabisa, kwa vigezo hivyo hivyo uchovu, watoto nk, mie rafiki yangu alikosaga housegal home ikabidi ambebe mwanae arudi kwao kisa hana housegal,mamA yake alimshauri akamwambia hata mie ckuwatunza nyie hivi, nilikuwa sina msaidizi na niliwalea, leta mtoto wako asubuhi jioni njoo mchukue rudi kwa mumeo, ma frnd hakumuelewa *****, kisa aliona uvivu na mtoto asubuhi kumpitia jioni bora arudi kwao akimpata maid atarudi kwake, mwanaume yupo mwenyewe kila cku kumcal mkewe hata aje tu home kwa nusu saa mwanamke oohh ahhh, alipokuwa lonely mwanaume akatafuta nyumba ndogo ambayo mpaka kesho inamtesa ma frnd, ana mtoto 1 na nyumba ndogo na kajengewa kufungulia biznes nzuri na magari ya kifahari, ma frnd hana la kusema amebaki anaduwaaa tu coz man anaweza kupitisha hata wiki hajafika kwa mke wake wa ndoa, SO WAKATI MWINGINE CC WADADA/WAMAMA TUNASABABISHA YOTE HAYA.......