Wanaukumbi kwa kawaida suala la kutosheka na kutosheka ndio linalosababisha kuweko kwa nyumba ndogo. Tukizungumzia nyumba ndogo kwa wale waendao nje ya ndowa tutaona kuwa kile kitendo cha kuacha mkeo na kwenda kutafuta mwanamke mwengine kinaletwa na kasoro ndani ya nyumba kubwa. Kasoro hiyo si lazima iwe kwa mwanamke tu bali hata mwanamume. kwa mfano mwanamume hana time na utunzaji wa watoto hivyo huamuwa kutafuta mwanamke mwengine kuepuka kero ya watoto.Pengine kutokana na passage ya watoto mara kwa mara nyama hupoteza uasilia wake na bwana anapenda nyama yenye mnato hivyo atatafuta nyumba ndogo kufuatia mnato. Pengine kweli mwanamke anaboreka na kujiona ameshafika hivyo haihitaji nguvu za ziada kama zilizohitajika wakati wa kumnasa Bwana kabla ya ndowa.
Sasa maadam kushaingia kasoro basi ni jambo la kawaida kwa huyu Bwana kutumia wakati wake mwingi huku kwenye nyumba ndogo na kwa vile wanaume ni rahisi kueleza kinachomkera nyumba kubwa bibi wa nyumba ndogo hujitahidi asirudie makosa ya bi mkubwa na hivyomapenzi huendelea.