Nyumba ndogo jamani

Namtoa outing tunatumia siku 4 hotelini, bado hata huko ananyima, hadi nikawaza ni pepo au ni nini? Hadi nimefikia kuamini kuwa hakuna ninachoweza kufanya ili mke wangu anipatie unyumba kama inavyopasa, angalao basi kama alivyokuwa ananipa alipokuwa anabembeleza kuolewa! Sasa hapo nisiwe na nyumba ndogo sababu gani?
Mkuu samahani nilikuwa sijaona hii post yako b4......lol mkeo mpeleke kwa Kakobe akaombewe aisee...
Hapa sasa hivi mie sina nyumba ndogo, ni kwa sababu tu sijapata mwenye vigezo ninavyohitaji, lakini nikimpata na mimi nalianzisha!
mkuu nakupa go ahead tena kama uko tayari kuna mabinti makini nawajua watakufaa nikuonganishie....kabla ya kulianzisha waite wasimamizi wa ndoa waeleweshe kisha baadae lianzishe....mkeo abakie kuwa mtunzaji wa mali za nyumbani na watoto
 
...basi nataka japo niongee na mkeo nimulize kama uyasemayo ndo unayoandika hapa
labda na mimi ndoa yangu itakuwa na furaha nikipata ushauri unaosema,
nikisoma coments zako naona kama sahamani kama nakufikiria vibaya ni mtu unaendaika lakini si mtekelezaji
naona muda mwingi unatumia kwenye net badala ya kuwa na moeo
muda wa kumfanyia mkeo yote hayo mwaupata wapi jamani?
naona wengine wakirudi makazini naona kwa huyo rafiki yangu moja kwa moja kwa computer hata muda wa kupeana na mkewe hana yeye anawaza jamii forum tuu mapenzi yatatoka wapi?

Kima.

...kama unayo biblia hapo soma methali 14:1

"The wise woman builds her house, but with her own hands the foolish one tears hers down"

I can only explain it to you, but i cannot understand it for you!

kila la kheri kwenye jamvi la Jamii Forums :)
 
mara nyingi huwa na vyumba viwili ambavyo vyaweza kutumika muda wote.
upo tayari?
sema

Dang! Kuna wapangaji wawili tayari halafu wanalipa vizuri kodi zao na nyumba ipo kwenye mandhari nzuri kabisa.
Umeoa?anataka kidumu/vidumu? Manaa tayari kama umeoa una ndoo kwahiyo vidumu havina kazi!
 
Kuna hiki kisa cha kweli ambacho mume baada ya kuona mke hatoi ushirikiano unaostahili na kumpa mume haki zake za msingi-stahiki, alimtoa mke wake na kwenda kwenye viwanja vyenye madada poa wa nguvu. Katika hizo outing yeye alikuwa anamwangalia mkewe anavyowatazama wale totoz. Wengine wamependeza kwa kila kigezo kumzidi yeye, lakini hawana mabwana. Mume kama anawasikitikia akasema jamani hawa warembo wamekosa nini mpaka hawana waume zao? Mke haukusema kitu.Walienda viwanja kadhaa katika wiki moja-baada ya hapo mke alielewa somo- akafungulia huduma na upendo kama vile wameona jana! may be kuna fundisho hapo?
 
si wanawake wote wako hivyo.
labda tumuulize belinda kama ni kweli. maana kuna wengine wametokea viwanja wakaingia ndoani hao huwa na kamba mguuni all the time
 
Dang! Kuna wapangaji wawili tayari halafu wanalipa vizuri kodi zao na nyumba ipo kwenye mandhari nzuri kabisa.
Umeoa?anataka kidumu/vidumu? Manaa tayari kama umeoa una ndoo kwahiyo vidumu havina kazi!

...hakuna shida maana huwa maji yanakatika kila mara nataka kuongezea na maji ya vidumu ili angalau akiba iwe ya kutosha....
mie nimeoa maana kama ningekuwa bado nisingesaka nyumba ndogo. jamani nisaidienu kupata nyumbandogo ili niokoe ndoa yangu...
 
Tatizo nini hasa kwenye ndoa yako?Vitu gani hupati na unataka au huvipendi na vinatokea? Maana unaweza kupata msaada kimawazo jinsi ya kuokoa ndoa yako bila kuwa na nyumba ndogo! Yaani kurekebisha mambo kadhaa ambayo yanachangia misukosuko kwenye ndoa yako.
Msanii,watu wenye kuwa/kutaka nyumba ndogo hawatangazagi. Kimyakimya unakuta maana watu wanakuwa ndoani hivyo wanafanya siri hizi ndogo nyumba.
 
...nashukuru kwa ushauri KUNTU
nitashambulia kimya kimya
 
si wanawake wote wako hivyo.
labda tumuulize belinda kama ni kweli. maana kuna wengine wametokea viwanja wakaingia ndoani hao huwa na kamba mguuni all the time

Tukio alilosema Edo nadhani lilikuwa ni kwa mwanaume kumpa mkewe fundisho au kumfanya ajue kuwa yeye akimnyima haki yake ya kindoa basi wapo wengine kama hao manesi wa usiku. Lazima huyo wife akaogopa na kujua kuwa siku labda mume akiniambia nipo outing anaweza kwenda huko kumalizia hamu zake.

Msanii,wapo wanawake waliotoka viwanja na kuolewa na wako ndoani mpaka sasa na wengine wameshindwa maana mazingira tofauti na walivyozoea kabla. Hiyo ni kwa mtu binafsi,yaani mwanamke yukoje ni hulka yake au alifanya kazi ya unesi viwanja kwasababu ya hali ya maisha yake!
 
...ila wengine si hivyo, wanaolewa kutafuta security za maisha yao ila wanabanjuka kwa kusambaa mbele
 
Ni kweli inawezekana ni sababu ya watu wengine kuingia ndoani. Sababu zingine ni kama penzi la dhati, ujauzito, family influence,finance, umri nk.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom