Nyumba ndogo jamani

We belinda ukiendelea sana hapa utashangaa nakuletea mahari kwenu sooon
Anyway unamwaga ushauri mzuri hapa ingawa sie tuliozoea kutifua tope tuna kiu kikubwa
 
Kuntu maanake ni maridhawa.
Kushambulia totoz inapobidi ni anuwai.
Ila niko siriaz (nasema kimya kimya) nataka plot ndogo

Tatizoz badala ya matatizo sikumaanisha totoz! Asante kwa maana ya kuntu,misemo mingi siku hizi ya kiswahili..
Mbona hujasema kwa nini unataka small plot?Yaani matatizo gani kwenye ndoa? Anyway mambo mengine ni personal zaidi ila chukulia matatizo kama changamoto maishani..
 
We belinda ukiendelea sana hapa utashangaa nakuletea mahari kwenu sooon
Anyway unamwaga ushauri mzuri hapa ingawa sie tuliozoea kutifua tope tuna kiu kikubwa
Mahari?!!!!!!...umenichekesha msanii, kwetu wapi?!
Well,siwezi kukupa ushauri mbaya tena kwenye hili suala. Inabidi uelewe tu kuwa matatizo yana mwisho na ukitaka kuishi maisha ya amani na raha kwenye ndoa unaweza japo lazima kuwe na adjustments fulani kati yenu kwenye mambo fulani kuridhiana!
 
...Belinda, ....Msanii shida yake kuu ni hiyo kiu yake, yeye kazoea kutifua tope, hataki nyumbani ili kuinusuru ndoa yake, humwelewei tuu? :D
 
...Belinda, ....Msanii shida yake kuu ni hiyo kiu yake, yeye kazoea kutifua tope, hataki nyumbani ili kuinusuru ndoa yake, humwelewei tuu? :D

Kwakweli Mbu nimejaribu kumsaidia kimawazo lakini yeye bado anataka tu kutifua tope hata wakati wa kiangazi:) Wanasema ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze,sasa muache ajaribu halafu aone jinsi unavyokuwa confused zaidi baadae.
 
Neno 'Nyumba ndogo' sio geni katika vinywa na masikio ya watu wengi. Kwa nini akina baba wanathamini sana nyumba ndogo kuliko wake zao wakubwa?Yaani mke wa kwanza.
Nyumba ndogo inatunzwa na kuthaminiwa sana kuliko mama wa watoto wa nyumbani....baba anajali sana na kusikiliza nyumba ndogo na hata huduma zinatolewa zaidi kwenye nyumba ndogo....
Kwa nini akina baba wanapenda sana nyumba ndogo?
Nyumba ndogo zinajua sana kuwaliwaza akina baba?
Nyumba ndogo zinajua sana mahaba?
Nyumba ndogo zinajua sana kubembeleza akina baba?
Kuna wakati wanawake wa nyumba ndogo wanakupa vitu vitamu mpaka unatamani kumsimulia mkeo unavyofaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom