Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 547
- 854
Mheshimiwa 🤓
Bunge ni la serikali na sio la wananchi.Mnataka mama aseme kitu gani wakati suala hili halijaletwa kwa wananchi kwa ghafla au kwa uamuzi wa mtu mmoja!
Ishu kama hizi ni lazima baraza la mawaziri au kamati za bunge zilitoa baraka
Yaani lipo kama pazia tuHatuna kiongozi pale... anapelekwa pelekwa tu
Mabeyo alihusika vipi kumuweka ?Mama keshachezewa mchezo kumbuka aliwekwa na mabeyo na sio jiwe toxin wao Wana mtu wao wanamtaka.
Lenyewe linaona sifa eti pumbavu kabisa!Matoto ya utapia mlo hao. Kila kitu ni canned food na supermarket products. Hawezi kuwa mwenye afya hata siku moja.
Amejaza sumu mwilini zinasubiri kulipuka. Matoto kama hayo unakuta at age of 25 tayari ana magonjwa ya kikubwa
Tumuombee mtoto wetu heri ila kapata baba KENGE na MPUMBAVU
Hata la ipitieli nalo lilipita kwenye mawaziriMnataka mama aseme kitu gani wakati suala hili halijaletwa kwa wananchi kwa ghafla au kwa uamuzi wa mtu mmoja!
Ishu kama hizi ni lazima baraza la mawaziri au kamati za bunge zilitoa baraka
Hawezi fanya hii kitu labda kama ana nia ya kumtosa mamaMkwere ndiye remote ..
Kajambe mbele hukoOnesha tulipo sema
Doh una kizazi kweli ndugu yangu? Mungu mkali angalia hayo maneno unayoyasema hasije kulidisha kwenye kizazi chako , Mpesa mpesa kwani lazima utumie? Kama hauna uwezo si uacheMatoto ya utapia mlo hao. Kila kitu ni canned food na supermarket products. Hawezi kuwa mwenye afya hata siku moja.
Amejaza sumu mwilini zinasubiri kulipuka. Matoto kama hayo unakuta at age of 25 tayari ana magonjwa ya kikubwa
Tumuombee mtoto wetu heri ila kapata baba KENGE na MPUMBAVU
na akiendelea kusikiliza kelele za wana mitandao atapotea pia , kila mwananchi atataka kitu chakeMama inabidi arudi nyuma, ajitafakari kisha aje na namna ya kufanya maamuzi yake. Atumie uwezo wake kufanya maamuzi.
Akiendelea kufurahisha watu au kutegemea watu mwisho hautakua mzuri na atagombana na wengi.
Aliyemtangulia alijipambanua kwa kuwa na misimamo yake na kuisimamia, mibaya imetuumiza kama taifa, mizuri imetufunza na kutujenga, atakumbukwa kwa hilo la kusimamia maamuzi.
Huyu watampelekesha sana kwa manufaa yao binafsi.
Doh una kizazi kweli ndugu yangu? Mungu mkali angalia hayo maneno unayoyasema hasije kulidisha kwenye kizazi chako , Mpesa mpesa kwani lazima utumie? Kama hauna uwezo si uache
na akiendelea kusikiliza kelele za wana mitandao atapotea pia , kila mwananchi atataka kitu chake
mama mwendo ni ule ule wakupende wasikupende hachana nao , Jk alitukanwa sana Akita shauli na Mila majina enzi za JPM wakaanza kumuona Jk shujaa
sasa hivi JPM anaoneka shujaa tena wanakuponda wewe husikate tamaa, fanya unaloona ni sawa kwa maendeleo ya Nchi Raisi ni mmoja hacha na maoya Kua wa mitandaoni
CC: Samia Suluhu HassanMama anaingizwa chaka bila kujijua!
Haya Nchemba ndio mana Jpm alimueka mbali naye agenda yake ni uraisi tu ndio Jpm alisema afute yale mawe kule singida! Mama awe makini popularity yake inaaza kupotea kidogo kidogo
Hakuna mahali nimesema asikilize kelele za mitandaoni. Soma kwa utulivu nilichokiandika.
Wapi nimekwambia umesema? Ushauli wangu nimetoa kwa mama wewe haikuusu
Mama aendelee kuupiga, mwigulu anamsaidia kuupiga mwingi. Mzee wa pro Samia una maoni gani[emoji23]CC:Samia Suluhu Hassan
Eeh mara hii nimeshakuwa pro Samia? Hii kali.. Kisa? Nilimsifia alipofanya vema? Kazi ipo wallah!Mama aendelee kuupiga, mwigulu anamsaidia kuupiga mwingi. Mzee wa pro Samia una maoni gani[emoji23]