Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Huyu jamaa JPM alimtumbua akiwa waziri wa Mambo ya ndani, mama aangali anamharibia sana
 
Huyu hapa

IMG-20210718-WA0142.jpg
 
Kuna wanaokatwa wanalalamika na kuna wanaokatwa wanavunia maumivu chini chini
 
Movement ya kuitoa ccm ianze sasa hivi. Wamemuua jpm m.nina zao sasa nchi inawashinda. Wanajiuliza huyu mwamba pesa za project zote alikuwa anatoa wapi. Hawana majibu kilichobaki ni kuvamia raia. Mradi wa bagamoyo utajenga vipi bila kuvamia raia. jpm alikuwa akili kubwa na na mkweli, nasema uongo ndugu zangu ?

Ngosha alikuwa chuma kweli kweli. Na wamemmaliza sababu wanajua mwamba hakuwa na plan za kurudi nyuma.

JPM hadi wazungu walikuwa wanamuogopa.
Sio huyu macho kulegea,

hawa vijana wapenda urais watamkomesha, ameshaazabkutoka kwenye lanes .... na huko huko ndjo watu wanampeleka ili wamnyooshe.

Kwa Africa , Rais kuwa mwanamke ni matusi makubwa sana. Tunavumilia tu, lakini inaumiza wengi
 
Mimi ni CCM kindakindaki na ni UVCCM nimeitumikia serikali kwa miaka mingi na nitaendelea kuitumikia ila ninakubali kwa moyo kunjufu kwamba CCM haitoweza kutuletea maendeleo na huyu Mama ni bomu kuwahi kutokea. Kifupi namfananisha na Rais wa Aljeria yule mwenye kiharusi( Brain Stroke). Yaani nchi inaongozwa na watu wengine kabisa, yeye anatumika kama taswira tu katika jamii, ndiyo huyu Mama.

Vijana wanamzidi nguvu na mbaya zaidi she is not smart yaani hana uwezo wa kuona mita 100 mbele kabla ya muda. Ni majanga ***** nchi hiyo sijui ililogwa na nan.

Njia mpya ni katiba bila kujali kama tunaupinzani thabiti.

Mimi naona ni bora tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ilimradi ccm itoke.
Halafu WaTZ msiogope, nchi zote zilizoendelea , wametifuana kwanza wenyewe kwa wenyewe ndio wakaheshimiana yaani kila mtu anamuheshimu mwenzie, sio kiongozi sio tajiri sio masikini wanaheshimiana kwa sababu wakikumbuka damu walizomwaga baina yao , hawataki kurudia tena hilo kosa.

WaTZ hili ni lazima litokee ili muheshimiane na muwe na maendeleo. Tofauti na hapo CCM itawatia kidole milele. Kwani polisi ni wangapi? Na Raia ni wangapi?!Polisi hawafiki hata laki 7 . Amueni
Wewe ni kweli mwana CCM?
na pia ni UVCCM.
Uzalendo wako unanipa walakini, unahimiza tumwage damu.🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom