Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Kweli ili uishi kwa amani na kuonekana mjuvi wa mambo lazima uwe mnafiki ivi jpm aliye kuwa tunamtukana leo kawa mfano mzuri na kukumbukwa kweli Asante. Unafiki na kujipendekeza ili mtu tuonekane wana falsafa wa kuandika au ujuaji mwingi .ukiona unaanza kulala Mika juu yaaisha yako wewe mwenyewe jua umekwama mwenyewe kukutengenezea Maisha ni ukoo wako sio serikal tujitambue na tuishi Maisha yetu tu.
 
Mama naye kama ni slow learner shauri yake mwache wamzamishe, kama hayo macho legevu hayawezi funguka atajikuta yuko shimoni!
 
Kweli ili uishi kwa amani na kuonekana mjuvi wa mambo lazima uwe mnafiki ivi jpm aliye kuwa tunamtukana leo kawa mfano mzuri na kukumbukwa kweli Asante. Unafiki na kujipendekeza ili mtu tuonekane wana falsafa wa kuandika au ujuaji mwingi .ukiona unaanza kulala Mika juu yaaisha yako wewe mwenyewe jua umekwama mwenyewe kukutengenezea Maisha ni ukoo wako sio serikal tujitambue na tuishi Maisha yetu tu.

Mbona unatoka nje ya mjadala na kufanya personal attack kwa mtoa mada.

Suala la falsafa ya kujua kuandika na ujuaji inahusiana vipi na mjadala huu?
 
Mwigulu Nchemba ni mwizi tumechoka na wezi Ikulu.

1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia mjengoni imeanza rasmi.
Tetesi zinadai kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu:

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.

b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.

c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
 
Mpaka mtoto amekuwa kama zezeta vile! Hatari sana!

Matoto ya utapia mlo hao. Kila kitu ni canned food na supermarket products. Hawezi kuwa mwenye afya hata siku moja.

Amejaza sumu mwilini zinasubiri kulipuka. Matoto kama hayo unakuta at age of 25 tayari ana magonjwa ya kikubwa

Tumuombee mtoto wetu heri ila kapata baba KENGE na MPUMBAVU
 
Mtoto mzito hadi bwana tozo anashindwa kumnyanyua.
Asubuhi chai,
Saa 4 maziwa,
Mchana mlo,
Saa 9 midtea
Usiku Mlo

Wewe toa hela ya uzalendo
Hahahaa! Hiyo midtea anapiga huku anachek Cartoon ya Tom and jerry
 
JPM mlimsema hivi hivi , na mama akiondoka mtamsifia pia hivi hivi same as Mwigulu

mama Samiha kanyaga twende tumechelewa sana , binadamu hata uwape nini hawalidhiki
Hela inauma ...
 
Back
Top Bottom